Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa kimasihara ... hatimae limepumzishwa jiwe la magram yakutosha kwenye kidole cha dada yetu , na hii ni ishara ya mahaba ya motomoto kwa hii couple bora inayotrend vyombo vyote vya habari vinavyoaminiwa na kutiwa chumvi na vya udaku!!

Mabaharia wa Dar popote mlipo msaidieni kijana wetu anapitia wakati mgumu sana na ilihali wengi tumeanza kwa kusherekea mwaka mpya yeye ameshaungana na walio wachache ambao Mwaka umeshaanza kushoto, Mabaharia mkichemka Juma jux karibu Gardaworld tunahuduma za Ambulance na rescue 24 hours ukihisi amani ya moyo inatoweka bonyeza panic Button yetu nasisi tutahakikisha upo katika mikono salama.

Mapenzi Mapenzii Mapenzi hayaa ole maamaaa na log off

 
Back
Top Bottom