Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

Yaani ndiyo watangaza na kupiga kelele, phot shoot na kurusha dollars huku wakichukuliwa videos.
Bongo hakuna anayeweza kufanya show-off kama za mbele hasa za blacks.
Basi Inaonekana weusi ni asili yetu kulimbuka
 
Reactions: Qwy
Yuko mbali mno, kifedha, ki investments, fan base, international recognition na strong management.
Usiamini kila unachoambiwa ..hivi RR 0 km linashushwa na Meli kweli..nakumbuka marehemu Mfuruki alishusha Mercedes Benz 500 0 km enzi za Mkapa Gari lilishushwa terminal 1...Sasa RR kweli ndani ya container chakavu???hiiiiiiiiiii
 
Usiamini kila unachoambiwa ..hivi RR 0 km linashushwa na Meli kweli..nakumbuka marehemu Mfuruki alishusha Mercedes Benz 500 0 km enzi za Mkapa Gari lilishushwa terminal 1...Sasa RR kweli ndani ya container chakavu???hiiiiiiiiiii
Usinilishe maneno, quote what I wrote. Sijazungumzia 0km, nimezungumzia gap alivyowaacha Tz artists kimaendeleo.
He is far beyond them all, tena hawa wapiga kelele wanaojitutumua washindanishwe naye ndiyo zero kabisa.
 
Usiamini kila unachoambiwa ..hivi RR 0 km linashushwa na Meli kweli..nakumbuka marehemu Mfuruki alishusha Mercedes Benz 500 0 km enzi za Mkapa Gari lilishushwa terminal 1...Sasa RR kweli ndani ya container chakavu???hiiiiiiiiiii
Mmehamia kwenye makontena sasa😂😂..Nyie vijana fanyeni kazi mpate hela zenu msiwawekee vinyongo matajiri..Acheni ujinga hizi ni DNA za umaskini kabisa aisee
 
Usiamini kila unachoambiwa ..hivi RR 0 km linashushwa na Meli kweli..nakumbuka marehemu Mfuruki alishusha Mercedes Benz 500 0 km enzi za Mkapa Gari lilishushwa terminal 1...Sasa RR kweli ndani ya container chakavu???hiiiiiiiiiii
Hapo na kamshahara kako ka laki4.5 swissport ukajiona umetanguliaa....15 years late mshahara umeongeza laki 3..mtoto wa Tandale anapush RR new model...hate him or love him mond is a true definition of a husla
 
Look at you
Nawewe ni expert wa magari sio???

Unatuonyesha edition za outside tuners za RR afu unajustify ni za 2021
Wabongo hate is huuge?
Afu ulichozungushia sio grill wewe much know
Grill hio hapo juu
Hamna RR cullinan inatoka stock hiv wewe kuna outside tuners wanzinunua hizo RR kwa dealers afu ndo zinabadilishwa

Mfano wa hizo kampuni
Mansory
Brabus
Holman uliemuweka hapo juu
Gemballa(alishakufa)
Na Singer

Kuhusu kuagiza embu acha kua mpumbavu basi kila mtu angeenda kusubiri cullinan lake kiwandani mpaka leo wangeenda wangapi?
Hivi kwa akili nyepesi tu unahisi cristiano ronaldo akinunua gari anaenda kukaa kiwandani?

Magari yakitoka tu wenzetu huko ulaya ma dealers wanayanunua in bulk kwa mfano mia yanaenda u.k mia 200 usa and so on and so on sasa kama wewe una uwezo ndo unanunua kwa dealer au saa nyingine kunakua na matawi ya hayo magari kwenye nchi hizo ndo unanunulia hapo litaletwa mpaka kwenye hlo tawi
Mtafte mtu anaitwa manny khoshbin youtube ananunua high value cars koenigsegg jesko's na gemera's na yeye mwnywe ananunulia kwa dealers marekani
Yani mtu na pesa zake aanze kulifata gari mpaka kiwandani u.k kisa gari moja tu

Watu wenye mshiko hawana muda wa huu ujinga mkuu
Tuliza akili google vitu
Kua na knowledge navyo ndo ucomment
Sio kwamba sipiti huko jukwaa la siasa na intelligence hapana napita na kuna watu nawaona wanatema nondo

Hujiamkii tu huko ukakurupuka uanze kujibizana au kuongea famba ovyo ovyo bila knowledge
Kwa sisi ma petrol head tunasikitika sana


Eti nmeongea na rolls royce

Duude the guys make phantoms and boat tails as their expensive models for f sake cullinan ndio ni bei lakini kwao ni ordinary hawayapi muda kama boat tail yao inayouzwa sijui 28mil dollars moja
Cullinan kwao is just cheap change the dont even give an f if its dubai or goddamn taiwan
 
Pumbavu limekuja na pumba zake hata kuandika halijui nani atasoma huu upumbavu wako kuandika tuu hujui, eti brabus kuna majitu majinga humu ndani, brabus tangu lini ka tune Rolls Royce? Huo ushamba peleka kwa washamba wenzako. Yani nimejaribu kupitia pumba zako nikaishia kwenye brabus, hiyo mansory nimesha iongelea hapa before. Kwa taarifa yako brabus wanadili na mercedes tuu mshamba wewe.
 
Tafuta hela kijana acha kulialia humu
 
ww hata utuakane vipi watu, ila ukweli utabaki pale pale, kuwa Mondi is another level. And he is rich right now.
 
Umekunywa chai kijana.........
 
Sasa umeona wewe unavokurupuka mzee
Nafahamu brabus ni merc ndo wanatune kwani nimesema wanatune hizo RR hao brabus kijana
Wewe ndo uangalie unachoandika mimi naandika pumba na wewe ndio unaita bumper grill
Shida ni wewe kutuekea aftertuners na kusema hawa ndo rollsroyce kijana

Nafahamu hilo swala na wala sio geni
Issue ni wewe kusema hio RR ni ya 2018 kwa sababu ya front bumper ww uiitavyo mwenyewe grill


Afu swala la cadillac mjomba yeye alitaka gari za msafara hizo watakaa njemba zake zinazomlinda ila RR ndo anakaa yeye kama yeye
So swala la outdated halimake sense
Watu wananunua gtr's , supras and rx7 za miaka ya 90 kwa bei mbaya sembuse cadillac
Na kwa taarifa tu the beast haitopata face uplift kwa sababu muonekano iliyonayo sahivi ndo inafaa afu show me your whip kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…