Juma Kapuya: Sihusiki na Athuman Kapuya Foundation iliyofungiwa kwa kashfa za ushoga

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga.

Kapuya amesema kwamba yeye jina lake ni Juma Athuman Kapuya, huku baba yake akiitwa Athuman Kapuya. Mama yake alipofariki dunia, baba yake mzazi alioa mwanamke mwingine na wakapata watoto. Kati ya hao watoto yupo Yasin Athuman Kapuya ambaye katika kumuenzi Baba yake mzazi akaamua kuanzisha Athuman Kapuya Foundation.

Profesa Kapuya kasema si yeye, mke wake au watoto wake wanaojihusisha na foundation hiyo. Anadai siku taasisi hiyo inafunguliwa alishiriki kuifungua na aliitwa aje kueleza Mzee Athuman Kapuya alikuwa mtu wa namna gani.

Profesa Kapuya amedai kuwa ana miaka zaidi ya 20 hajaonana na ndugu yake huyo mhusika wa taasisi hiyo kwani Yasini Kapuya anaishi Marekani.

Ameongeza kuwa watu wanaweza kwenda Serikalini kufuatilia hasa nani mmiliki wa hiyo Taasisi ili waache kuchafua jina lake kwa jambo lisilomhusu.

Pia soma
 
Too little too late.
Jina la Kapuya limechafuka!
 
Huko kwenye mashirika ya Kimataifa wanatambukishana mashoga na wanapigiwa makofi. Wazungu ni wapumbavu sana.
 
View attachment 3013928
ila kweli sisi waafrika tuna laana. Yaani watu wamekuzidi kila kitu, unatumia mitandao waliyotengeneza wao, unatumia nguo, silaha, elimu , bado kila kukicha mnashinda kwao kuomba misaada, bado wanawadai madeni kibao lakini unawaita wapumbavu?!!
Kweli afrika ni Laaanaa kubwa sana
 
Back
Top Bottom