Juma Kaseja akabidhiwa zawadi ya milioni 10 na Paul Makonda

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya @TaifaStars ambaye pia ni RC wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Sep 9, 2019, amemkabidhi golikipa wa timu ya Taifa ya Tanzania Juma Kaseja, kitita cha Shilingi Milioni 10.

Makonda alitoa ahadi hiyo jana baada ya Kaseja kuwa nyota wake wa mchezo kwa kuonesha kiwango kizuri ikiwemo kupangua mkwaju mmoja wa penati dhidi ya Burundi.

Wenzake wamepewa ngapingapi? Kama kapewa peke yake ni tatizo.
huu ni upuuzi sasa inamaana kacheza peke yake.
ukosefu wa sifa za uongozi
Mnafuatilia mpira nje ya bongo?

Mchezaji hupewa zawadi kwa juhudi zake kisha yeye huwagawia wenzake kwakua hajacheza peke yake.

Ingawa pia kugawana na wenzie ni utashi wa mchezaji zaidi.
 
Mnafuatilia mpira nje ya bongo?

Mchezaji hupewa zawadi kwa juhudi zake kisha yeye huwagawia wenzake kwakua hajacheza peke yake.

Ingawa pia kugawana na wenzie ni utashi wa mchezaji zaidi.
TEAM WORK
Hamna juhudi binafsi, Kucheza penalt ni baada ya wezake kupambana dk 90/120
 
Mnafuatilia mpira nje ya bongo?

Mchezaji hupewa zawadi kwa juhudi zake kisha yeye huwagawia wenzake kwakua hajacheza peke yake.

Ingawa pia kugawana na wenzie ni utashi wa mchezaji zaidi.
Weka mfano na picha, tuone Mo Salah akipokea fedha na baadae akazigawa kwa wenzake bwana castration
 
Mnafuatilia mpira nje ya bongo?

Mchezaji hupewa zawadi kwa juhudi zake kisha yeye huwagawia wenzake kwakua hajacheza peke yake.

Ingawa pia kugawana na wenzie ni utashi wa mchezaji zaidi.
Sasa wachezaji 22 akisema wagawane kuna kitu hapo meku[emoji13]
 
Vipi, Kaseja hana account!? Maana hii njia mpya ya kuwatambua 'hero' wetu huyu inaweza kumsababishia usumbufu. Last time captain alijitolea kugawana zawadi yake na mchezaji majeruhi, ngoja tuone kama Kaseja atakubali kuigawana hii 'zawadi' na wliofunga magoli na waliozuia tusifungwe mengi!
 
Ongera Sana kaseja umepitia misukosuko mingi ya siasa ya mpira atimae umekuwa hero wa taifa.na nyie mnaolalamika mbona hela kwapewa yeye pekee kwann mnampangia mtu wakati hela ni ya makonda si ya serikali ana haki ya kumpa anayemtaka yeye mbona Ronaldo na Messi wakipiga hattrick mnawapa sifa wao wenyewe na si wachezaji wenzao mbona hatuongei kitu iweje iwaume kwa kaseja kupewa hiyo hela Kama sio unafiki ni Nini?
 
Yaani makonda anahurumaa saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…