Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya @TaifaStars ambaye pia ni RC wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Sep 9, 2019, amemkabidhi golikipa wa timu ya Taifa ya Tanzania Juma Kaseja, kitita cha Shilingi Milioni 10.
Makonda alitoa ahadi hiyo jana baada ya Kaseja kuwa nyota wake wa mchezo kwa kuonesha kiwango kizuri ikiwemo kupangua mkwaju mmoja wa penati dhidi ya Burundi.
Makonda alitoa ahadi hiyo jana baada ya Kaseja kuwa nyota wake wa mchezo kwa kuonesha kiwango kizuri ikiwemo kupangua mkwaju mmoja wa penati dhidi ya Burundi.