Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Bora hata yule mwingine sjui anaitwa frank, ndo hivyo vitu vyeusi vina thamani ndiyo maana mm nina rundo la warembo kulingana nipo km mkaaHahaha huyo bwana wanamgombania kwa sababu zipi? Duhh kweli kila mtu na macho yake🫢
Dr. Mariposa unamfahamu WolperLokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
View attachment 3658504
Frank yupi?Bora hata yule mwingine sjui anaitwa frank, ndo hivyo vitu vyeusi vina thamani ndiyo maana mm nina rundo la warembo kulingana nipo km mkaa
Hajafit vigezo vyako mkuu, kwa wengine anaqualify.😂😂Hahaha huyo bwana wanamgombania kwa sababu zipi? Duhh kweli kila mtu na macho yake🫢
Huyo Lolole uchekaji gani?Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
View attachment 3658504
Sio vigezo tu, sioni maajabu ya kuwafanya waanze kudhalilishana mitandaoni hivi!Hajafit vigezo vyako mkuu, kwa wengine anaqualify.😂😂
Unajua wanawake wanapenda mwanaume anayependwa na wanawake wengine.Sio vigezo tu, sioni maajabu ya kuwafanya waanze kudhalilishana mitandaoni hivi!
Hmm wanawake matahira labda!Unajua wanawake wanapenda mwanaume anayependwa na wanawake wengine.
Yaah mchele watu wanatwanga.Huyo Jamaa sauti ya kiume mbona kama anatutia wasiwasi wanaume...