Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

Khaaaaaaaaaaaaah Huyu nae kiswaswadu akae kimyaaaaaaa, mbona yeye bahati hiyo ameipata na sioni akibadilika, na saivi atajiju bahati imetua kwa designer, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiih mji mzito huuuuuuh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei wanawake bali wanajichezea wenyewe...

Wanakimbilia kupata Mimba wakijua ndio Mondi Atawapenda Milele , Yaani Badala ya kuhakikisha wanajijenga Kupitia jina la Diamond na kusaidia ndugu zao Wenyewe wanakimbilia Kutundikwa Mimba, Wakiachwa wanaanza kutafuta huruma za Wananchi....

View attachment 1376495
Kwani ameomba nafasi akanyimwa ?
 
Khaaaaaaaaaaaaah Huyu nae kiswaswadu akae kimyaaaaaaa, mbona yeye bahati hiyo ameipata na sioni akibadilika, na saivi atajiju bahati imetua kwa designer, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiih mji mzito huuuuuuh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nilibaki najiuliza huyu designer mbona hivii kumbee nae anasaidia majukumu 😤 kweli mji mzito huu.
 
Mi nipo nyuma mno...sijui ndo uzee au nimebanwa na majukumu...maanake hata yanayoendelea huko mtaa wa jirani siyajui..eti designer...huyu ndo nani tena...kwani domo kashamtema baby mama wake tena...mbona mambo mazito haya..kwani mtoto ametimiza hata mwaka...na ile ndoa imekwamia wapi tena...

Kwani Juma ukoko ni shoga ?????mambo mengi mda mchache...mahitaji mengi pesa hamna...

Nyege nyingi ukimwi kama wa hela yote mtaani...na wazae tu walau tuongezeke ili tukianza kufa walau kuwe na masalia...
 
Khaaaaaaaaaaaaah Huyu nae kiswaswadu akae kimyaaaaaaa, mbona yeye bahati hiyo ameipata na sioni akibadilika, na saivi atajiju bahati imetua kwa designer, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiih mji mzito huuuuuuh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu sio Menzetu. Hivi Majuzi kaulizwa kama akiambiwa achague kati ya kubakwa na kutoa password yake ya Istagram basi yeye atachagua kubakwa! kwasababu ni kitu cha mara moja tu
 
Back
Top Bottom