Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

Khaaaaaaaaaaaaah Huyu nae kiswaswadu akae kimyaaaaaaa, mbona yeye bahati hiyo ameipata na sioni akibadilika, na saivi atajiju bahati imetua kwa designer, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiih mji mzito huuuuuuh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha weeee nani uyo Ally ama??
 
Mi nipo nyuma mno...sijui ndo uzee au nimebanwa na majukumu...maanake hata yanayoendelea huko mtaa wa jirani siyajui..eti designer...huyu ndo nani tena...kwani domo kashamtema baby mama wake tena...mbona mambo mazito haya..kwani mtoto ametimiza hata mwaka...na ile ndoa imekwamia wapi tena...

Kwani Juma ukoko ni shoga ?????mambo mengi mda mchache...mahitaji mengi pesa hamna...

Nyege nyingi ukimwi kama wa hela yote mtaani...na wazae tu walau tuongezeke ili tukianza kufa walau kuwe na masalia...
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaaaaaaaaaaaaah Huyu nae kiswaswadu akae kimyaaaaaaa, mbona yeye bahati hiyo ameipata na sioni akibadilika, na saivi atajiju bahati imetua kwa designer, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiih mji mzito huuuuuuh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Desgner wa shost nyumbu eeeeh malizia code

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nasibu bwanaa, asa pale ndio anaona raha gani[emoji36][emoji36], mi mpaka sasa najiuliza ukaribu wao ulianza anza vipii[emoji848]
Weeeeh hujuw ladha ya topeeeeeh Tena usijaribu kabisaaaaa wengine washakuwa addicted uwiiiiiiih, ni vile Siri tyuuh siku files zikifukuliwa dunia itakuwa mwsho muda huo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom