Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

Hivi bado tu watu hawajamjua tu designer 😂😂😂, mbona mmetafuniwa sanaa code hizo , mtoto mzuri "N" cocastic 😅😅😅
 
Khaaaaaaaaaaaaah Huyu nae kiswaswadu akae kimyaaaaaaa, mbona yeye bahati hiyo ameipata na sioni akibadilika, na saivi atajiju bahati imetua kwa designer, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiih mji mzito huuuuuuh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa bana ushapata rafiki kwanza?
Yani mashoga mna kazi Sana, Sasa hapa unamshushua shoga mwenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yetu siku hizi kuwa maarufu ni kazi rahisi sana

Juma Lukole anawazidi umaarufu watu wengi Muhimu humu nchini

Ni rahisi kukuta Msomi wa Udsm siku hizi tena wa Masomo ya Political science asimjue mtu kama Shivji lakin akamjua Juma lukole, kizazi kinakuwa replaced na kizaz cha aina yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Pongezi zote ni kwa awamu ya tano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom