[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia wewe mwaka 98 tuliwaazima Yanga wachezaji watatu wa kucheza michuano ya klabu bingwa Africa
Hii inasikitisha sana. Ndio maana sio ajabu kumbe kukuta coastal union chini ya mgunda ikifungwa kirahisi magoli mengi na simba, kitendawili kimeteguliwa. Karia ana shida kubwa sana.Tulia wewe, tunaenda kuwakilisha taifa na sio ligi za mchangani za tiefuefu
Hiyo ni kitu tofauti kabisa na hiki, hapa unaongelea mwalimu ambaye anapanga timu acheze nani mechi gani na acheze vipi
Ao wachezaji hawakuazimwa, walisajiliwa. Monja liseki, Alfonce Modest na Jumanne Ramadhani. Caf hawana iyo michezo ya kuidhininisha wachezaji wa kuazima.Tulia wewe mwaka 98 tuliwaazima Yanga wachezaji watatu wa kucheza michuano ya klabu bingwa Africa
Kwa hiyo sisi tumeazima Sufuria?Ao wachezaji hawakuazimwa, walisajiliwa. Monja liseki, Alfonce Modest na Jumanne Ramadhani. Caf hawana iyo michezo ya kuidhininisha wachezaji wa kuazima.
Walisajiliwa kutoka Simba kwenda Yanga. Nimasufuria ya shughuli ndio Yana azimwa.
Mara hii kichefu chefu?Hii inasikitisha sana. Ndio maana sio ajabu kumbe kukuta coastal union chini ya mgunda ikifungwa kirahisi magoli mengi na simba, kitendawili kimeteguliwa. Karia ana shida kubwa sana.
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini huu uongo wao.Kosto wanasema hawana mkataba naye isipokuwa wapo kwenye mazungumzo naye ya kuongeza mkataba mpya
Acha kumfananisha Pitso Mosimane na sufuria wewe.Kwa hiyo sisi tumeazima Sufuria?
Huo ni uongo waliofundishwa kuusema, kama hakuwa na mkata nao kwanini simba iliwaponheza costo kukubali kumtoa mgunda, kwanini costo walikuwa wanalalamika kutoshirikishwa kwenye dili? Mkataba wa mgunda na costo ulikwisha toka lini?Kosto wanasema hawana mkataba naye isipokuwa wapo kwenye mazungumzo naye ya kuongeza mkataba mpya