kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Hii inamuweka wapi kijana Ahmed Ally ambae iliimba juu ya ubora na umahiri wa kocha Zoran muda mfupi TU uliopita? Muoneeni huruma huyu kijana. Anahitaji kuwa makini sana kwa kila kitu Cha babraBongo Noma Sana Kocha Anakodishwa Kama Viti Vya Kwenye Sherehe