Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na:

1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja

2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia coastal au simba katika mazingira fulani kwenye mwenendo wa ligi kwa kuitumia coastal au simba.

3. Mgunda anaweza kuidhoofisha coastal union kwa kupenda au kutokupenda

4. TFF imeanzisha chaka jipya kwenye mpira wa TZ (presidency)
Bahati nzuri kocha ana uhuru wa kufundisha timu yoyote na muda wowote. Ndio maana majina ya makocha hayatumwi kwenye usajili wa CAF kama ilivyo kwa wachezaji.
 
Kanuni za TFF ni zipi, kocha yeyote anaruhusiwa kufundisha timu bila mkataba au taarifa kwa TFF? je, mkataba wa costo na juma uliisha lini? je, costo alicheza mechi ngapi za ligi chini ya Juma Mgunda asiyekuwa na Mkataba na costo? je, matokeo ya hizo mechi ni halali? Haya ndio maswali ambayo sisi mbumbumbu wa mpira na kanuni zake tunapaswa kuambiwa na wataalam.
 
Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na:

1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja.

2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira fulani kwenye mwenendo wa ligi kwa kuitumia Coastal au Simba.

3. Mgunda anaweza kuidhoofisha Coastal Union kwa kupenda au kutokupenda.

4. TFF imeanzisha chaka jipya kwenye mpira wa TZ (Presidency).
Kusapoti huu upuuzi wako tuweke mkataba wa Mgunda na Coastal Union hapa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Na sasa hivi Mgunda hawezi kusimama na kuwa mkuu wa bench la ufundi kwa sababu qualifications zake hazitoshelezi,hivyo timu husika itamtumia kocha wa timu husika ya wanawake ndio mwenye qualification tosheleza.

Hii ni aibu sasa
 
.
JamiiForums-211660238.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kanuni za TFF ni zipi, kocha yeyote anaruhusiwa kufundisha timu bila mkataba au taarifa kwa TFF? je, mkataba wa costo na juma uliisha lini? je, costo alicheza mechi ngapi za ligi chini ya Juma Mgunda asiyekuwa na Mkataba na costo? je, matokeo ya hizo mechi ni halali? Haya ndio maswali ambayo sisi mbumbumbu wa mpira na kanuni zake tunapaswa kuambiwa na wataalam.
Unaweza kutuambia ni kanuni ipi ya TFF inasema makocha lazima wawe na mikataba?

Kwanza unapaswa kujua mikataba haipo kwa lengo la kulinda matokeo bali kulinda masilahi yabpande zote za mkataba.
Pia TFF na CAF wanachohitaji kwa kocha ni awe ana vyeti vinavyofaa kufundisha daraja husika ndio maana unaona kila wakati kozi za makocha zinatolewa.
Hakuna kanuni yoyote ya TFF iliyivunjwa na kocha anaweza kuenda timu yoyote na kurudi bila shida. Baada ya Poulsen kutimuliwa Tifa stars nafasi yake inashikiliwa kwa muda na kocha toka kwenye Club mojawapo ya NBCPL. Unataka kusema atakuwa anapendelea kupanga wachezaji wa timu yake kwenye kikoai cha Taifa?
 
Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na:

1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja.

2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira fulani kwenye mwenendo wa ligi kwa kuitumia Coastal au Simba.

3. Mgunda anaweza kuidhoofisha Coastal Union kwa kupenda au kutokupenda.

4. TFF imeanzisha chaka jipya kwenye mpira wa TZ (Presidency).
Umeandika upuuzi mwingi sana,unaakisi ile kauli ya kimwaga udugu kuwa huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu.

TFF ni mali ya Simba kwa sasa, nothing is impossible under Karia, ni nani halijui hili, labda mpumbavu tu.
 
Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na:

1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja.

2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira fulani kwenye mwenendo wa ligi kwa kuitumia Coastal au Simba.

3. Mgunda anaweza kuidhoofisha Coastal Union kwa kupenda au kutokupenda.

4. TFF imeanzisha chaka jipya kwenye mpira wa TZ (Presidency).
Hebu bugia dawa zako za degedege kwanza.
 
Umechelewa kutoa maoni maana kanuni za uendeshaji wa ligi zimeshapita. Ungekuwa na akili inayoona mbele ungeliliona mapema na siyo kusubiri limeshatokea.
Kumbuka kuwa sheria inayotungwa kwa sababu ya tukio fulani huwa haitumiki kulihukumu tukio hilo, bali hutumika kwa matukio kama hayo yatakayokuja baadaye.
 
Bongo Noma Sana Kocha Anakodishwa Kama Viti Vya Kwenye Sherehe
 
Umechelewa kutoa maoni maana kanuni za uendeshaji wa ligi zimeshapita. Ungekuwa na akili inayoona mbele ungeliliona mapema na siyo kusubiri limeshatokea.
Kumbuka kuwa sheria inayotungwa kwa sababu ya tukio fulani huwa haitumiki kulihukumu tukio hilo, bali hutumika kwa matukio kama hayo yatakayokuja baadaye.
Sawa
 
Back
Top Bottom