Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwa majukwaani bado sir nature ana uwezo wa hali ya juu mno ambao haujafikiwa na msanii yoyote yule.Hayuko kwenye trend.... anataka alipwe kama walioko kwenye trend?
Angeenda tu.
Hiyo hela bora afanye show za bar hapa hapa mjiniHayuko kwenye trend.... anataka alipwe kama walioko kwenye trend?
Angeenda tu.
Hiyo hela bora afanye show za bar hapa hapa mjini
Hata kama hayuko kwenye trend, mtu hawezi kutoka Dsm au popote hadi Mtwara.Hayuko kwenye trend.... anataka alipwe kama walioko kwenye trend?
Angeenda tu.
5500 ya fegi na biaAtalipwa hiyo laki 5,halafu mwenye bar apate tsh. ngapi?
Hayo ndio malipo halisi ya wasanii labda yeye nature kaamua kuvimba tu unaikataa laki wenzio wanaifuata kwa basiKwa majukwaani bado sir nature anauwezo wa hali ya juu mno ambao haujafikiwa na msanii yoyote yule
Laki 5 ni kubwa sana kwa nature ingemsaidia sana kuachana na gongo anazokunywa ingemsogeza hata kwa mwezi mmojaTuwe wakweli hivi Juma nature sasa hivi atangaze show kiingilio 2000 kwa kichwa wangapi humu wataenda?
Mbona kulikuwa na story et Nature ni TajiriLaki 5 ni kubwa sana kwa nature ingemsaidia sana kuachana na gongo anazokunywa ingemsogeza ata kwa mwezi mmoja
Kwahiyo aende mpka Mtwara kwa laki 5?
Usafiri upo wamekodi ma bus VIP ya Happy Nation matatu. Hotel wanalipiwa ya kulala na chakula freeHata kama hayuko kwenye trend, mtu hawezi kutoka Dsm au popote hadi Mtwara.
Apande jukwaani. Halafu malipo laki 5.
Watu humu jukwaani mna ufala mwingi sana😂Atalipwa hiyo laki 5,halafu mwenye bar apate tsh. ngapi?