Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Wasafi wamekanusha na chege kakanusha hakuna msanii anaelipwa 500k wasafi festival wote wako juu ya 500k
 
Umeconclude mkuu..
Uzi ufungwe.
 
Sure
 
Was looking for this kind of comment
🤝
 
Usimlinganishe au kumtolea mfano wa kumhusianisha Snoop Dogg na vitu vya kipumbavu
 
Kwenye trend ndio wapi?

Unaelewa hata vibe la show?

Nature anaweza asiwe kwenye top ten zenu za kwenye maredio ila hao wote walioshika namba za juu wasiweze kumfikia kwenye show tena kwa ngoma zile zile za miaka ya nyuma.
Hlo vibe unazungumzia la wapi na lini ? Msije mkawa mnamwingiza kingi mwisho wa sku stuation iwe more worse , uzuri bado yupo hai na ana Afya njema , basi mwambieni atangaze shoo ili tukate mzizi WA fitina , tusiandikie mate na wino upo
 
Hlo vibe unazungumzia la wapi na lini ? Msije mkawa mnamwingiza kingi mwisho wa sku stuation iwe more worse , uzuri bado yupo hai na ana Afya njema , basi mwambieni atangaze shoo ili tukate mzizi WA fitina , tusiandikie mate na wino upo
Ukiwa mtu unayejua mziki na kuhudhuria live show utaelewa hata hawa mainstream huwa wana amsha jukwaani kwa ngoma za zamani kuliko hizi za recently.

Ngoma ya zamani iliyobamba inakuwa na na flavour ya kipekee.

Kwasababu kwanza haipo kwenye rotation ya kufanya isikilizwe sana.

Ngoma ikisikikizwa sana inazoeleka haraka na kuanza kukinai.

Ngoma ya namna hiyo ili iweze kuleta mzuka wakati wa show inatakiwa ipigwe miaka ambayo haipo kabisa kwenye rotation.

Na ndio sababu Best Naso aliweza kuwafunika mainstream artists ambao ngoma zao zinachezwa kila kukicha kwenye media.
 
Safi sana

Juma Nature ni Msanii ninayemkubali sana na yupo sahihi kukataa hiyo laki 5
 
Brands kubwa Tanzania kama Tigo, Vodacom, TBL, Serengeti, CRDB, NMB, Cocacola wakiwa wanatoa deals za wasanii umeona wanawatafuta kina Mr. Nice, Johari, Wema Sepetu, Chidi Benz kwa heshima kisa walikuwa maarufu zamani?
hahahaaa nimekuelewa sana hapa.
 
Wimbo wa Hillgame ni zaidi ya nyimbo zote zilizotoka bongo post 2008 ukiziunganisha. Nature apewe heshima yake. Kudharau waliofikisha sanaa hapa ni upotofu mkubwa.
 
Snoop Doggy ni brand kubwa sana, ukilinganisha na hao wengine.. Nature ame fail kuilinda brand yake.. acha ale alichopanda
 
Wasafi wamekanusha na chege kakanusha hakuna msanii anaelipwa 500k wasafi festival wote wako juu ya 500k
Mbona chege kama vibe lake km sio kivile kwenye hiz show ....au ni mimi pekee yangu nime notice hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…