ukweli ni kwamba Music industry au celebrity industry kwa ujumla haijawahi kuwa about talent lakini it is about usupa staa. Hii haijaanza leo wala Jana.
Kama ni talent, Kuna watu maelfu kwa Malaki hapa Tz Wana talent kuliko kina diamond,alikiba, young lunya hata hao kina Nature etc. Lakini hawajulikani Kwasababu hawana nyota ya usupa staa na kutrend.
Although unaweza kumake case kuwa wasanii wa zamani walikuwa na talent kuliko wa sikuhizi kwasababū zamani ili utrend inabidi uwe na kipaji, sikuhizi sio lazima uwe na kipaji ili utrend ni ujanja ujanja na connection, kwahyo unakuwa na supastaas wengi wasio na vipaji.
But the issue inabaki palepale, uwe na talent au usiwe nayo, kwenye music/celebrity industry kinachomata namba 1 ni usupastaa na kutrend kwako.
Hicho ndo kinadetermine thamani na dau lako.
Kwasasa Nature sio supastaa na wala hatrend, na hata fanbase yake ni wazee wa 30+ ambao hawahudhurii hizi show