Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Billnas ana jina kubwa kuliko nature kwasasa labda ungeniambia nature wa zamani Ndio Maana Wasafi wamemvalue kwa hiyo hela
Kwenye "jina kubwa" Sio kwa leo hata kesho, Bilnas na Nature hawawekwi kwenye sentensi moja. Kiufupi Usifananishe mtu aliyekuwa on top na mtu mwingine ambaye yupo kwenye list ya wasanii wakubwa Ila HAJAWAHI kuwa on top kimuziki
Ukiongelea numbers, yawezekana Bilnas kwa sasa anazo kuliko nature Ila kusema anafahamika kumzidi. Hapo ifanyike research