Billnas ana jina kubwa kuliko nature kwasasa labda ungeniambia nature wa zamani Ndio Maana Wasafi wamemvalue kwa hiyo hela
Ili akiumwe tumchangie huku tukimnanga sio?Nature mkongwe wa hili game.. kazingua. Angefanya for the love.. of his fans.
Hapaswi kutanguliza pesa mbele.
Kwenye hayo matamasha siyo kila anaitwa anahitajika wengine ni kwaajili ya kusogeza muda kama tangazo katikati ya burudani, wanaohitajika wanalipwa hela nzuri hawa wasiohitajika wanakula hizo ndogondogoHaitwi asiyehitajika, waandazi wameona anahitajika ndio sababu akaitwa
Hakuna mfanyabiashara ataita hasara
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ndo alivyo, huwa anawashwa washwa...watoto wa Kino haoWenye hayo majina humu wapo?
Mbona mimi ni Shabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga wananiita mbumbumbu, mkia, kolo, kolo wizard na sijawahi kuona kama ni tatizo la kuwaita mods?
Sembuse hao ambao hata hawapo?
Nature haumwi wewe.. kisiki kileIli akiumwe tumchangie huku tukimnanga sio?
"Nature wa sasa" "Nature wa zamani" ni vinini hivi mkuu?Billnas ana jina kubwa kuliko nature kwasasa labda ungeniambia nature wa zamani Ndio Maana Wasafi wamemvalue kwa hiyo hela
Mkuu ushawaka?Nature haumwi wewe.. kisiki kile
For love wakati alieandaa show anaondoka na MAMILIONI wewe unapewa 500,000/-Nature mkongwe wa hili game.. kazingua. Angefanya for the love.. of his fans.
Hapaswi kutanguliza pesa mbele.
Nature mkongwe wa hili game.. kazingua. Angefanya for the love.. of his fans.
Hapaswi kutanguliza pesa mbele.
250×2000=250,000Kwamba atahitaji watu 250 tu apate 5mil
Hizo za laki 3 unawapa wewe? Punguzeni dharau
Waambie watakwambia msanii wao Bora ni ChinowamanyaniKwa wasiomjua nature aliimba hizi ngoma
Hakuna kulala
Mgambo
Kila siku za wiki
Kisa Demu
Inaniuma Sana
Sitaki Demu
Mtoto Iddi
Mzee wa busara....
Dah Kwa hizi ngoma hata Mimi ningekataa laki tano... Tatizo watoto wa DP WORLD hawawezi nielewa [emoji26][emoji16]
Yap naweza nikakuelewa kama tulikubaliana ni aina gani ya mashabiki ambao tunawachagua kama referenceNdiyo, ni kweli wasanii wa zamani Wana vibe kwenye stage. Lakini mashabiki hawajui Hilo. Mashabiki huwa wanafuata wasanii wanaotrend.
Wakishanunua tiketi na kuingia ndo mambo ya kuvibe nyimbo za zamani yanakuja baadae.
Ukisema best naso afanye show yake Furahisha na Mario afanyie yake kirumba, watu watajaa kwa Mario ingawa hao watatu watakaoenda kwa best naso watavibe kuliko maelfu walioenda kwa Mario..
Wanaoandaa matamasha hawakulipi msanii kwa uwezo wako wa kuliamsha kwenye stage, wanakulipa kwa uwezo wako wa kuuza tiketi.
Business is business.
Nyie wazee ni kwenye keyboard tu lakini kwenye shoo hamuezi endaHawa watoto wa 2005 wasituumize kichwa.
Nature sio wa kuipwa 500k
Nature ni kuanzia 1.5m Tena unamwomba na gharama zingine iwe juu yako.
Mziki wa nature haujawah kuchuja.
Mtoto Idd
Kisa demu
Sitak demu
Ubinadam kazi
Mgambo
Mikikimiki
Wazaz
Ugal
Alizoshirikishwa ni utitir zikipigwa had hisia zinaamka .
Achen dharau Kwa legend wetu enyi vitoto vya sasa.
Yeah Billnas ana jina kubwa kwa kizazi cha sasaBillnas ana jina kubwa kuliko nature kwasasa labda ungeniambia nature wa zamani Ndio Maana Wasafi wamemvalue kwa hiyo hela
Nature ni mtu mwingine kwenye show.Na shoo zote nature anakua mwishoni au WA pili kutoka mwisho ana balaa yule Mzee..Mimi nshaenda sana fiesta !!nature anakuumbua na wasanii wako ana uwezo WA kuimba bila kuchoka mda mrefu kaahh...sijaona Mimi
ukweli ni kwamba Music industry au celebrity industry kwa ujumla haijawahi kuwa about talent lakini it is about usupa staa. Hii haijaanza leo wala Jana.Yap naweza nikakuelewa kama tulikubaliana ni aina gani ya mashabiki ambao tunawachagua kama reference
Naweza kukubaliana na wewe kuwa mashabiki ma teenager wana hiyo trend ya kumkubali msanii ambaye wao wenyewe ndio walimpandisha kwenye peak.
Hawatakuwa na muda wa kuangalia kilichoimbwa wao kazi yao ni moja kusema "ngoma kali" as long as imeimbwa na msanii wao waliompa milage.
Lakini vile vile lipo kundi la watu wanaoingia kwa ajili tu ya kumuona msanii kulingana na usupastaa wake aliojitengenezea.
Kwa hiyo tutofautishe hapo kati ya kupata idadi ya watu wengi kwasababu ya usupastaa wako na kupata idadi ya watu wengi kutokana na talent yako.
So Nature hana usupastaa, sio mtu ambaye bishoo wa mtaani akikutana naye mtaani ataomba picha au akirudi home ahadithie kuwa nilikutana na msanii mkubwa.
Usupa staa unakuwa na sehemu yake ambayo huko ndio una play role yake.ukweli ni kwamba Music industry au celebrity industry kwa ujumla haijawahi kuwa about talent lakini it is about usupa staa. Hii haijaanza leo wala Jana.
Kama ni talent, Kuna watu maelfu kwa Malaki hapa Tz Wana talent kuliko kina diamond,alikiba, young lunya hata hao kina Nature etc. Lakini hawajulikani Kwasababu hawana nyota ya usupa staa na kutrend.
Although unaweza kumake case kuwa wasanii wa zamani walikuwa na talent kuliko wa sikuhizi kwasababū zamani ili utrend inabidi uwe na kipaji, sikuhizi sio lazima uwe na kipaji ili utrend ni ujanja ujanja na connection, kwahyo unakuwa na supastaas wengi wasio na vipaji.
But the issue inabaki palepale, uwe na talent au usiwe nayo, kwenye music/celebrity industry kinachomata namba 1 ni usupastaa na kutrend kwako.
Hicho ndo kinadetermine thamani na dau lako.
Kwasasa Nature sio supastaa na wala hatrend, na hata fanbase yake ni wazee wa 30+ ambao hawahudhurii hizi show