REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Njaa itamuua shauri akeKiroboto sitaji andika sana ebu kaa na wadau mjini usisubilie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau iitisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja...
Hajapata shida huyoKuna fundi wangu hata kama hana kazi na ikatokea labda dayworker ya 25k wala hawezi kwenda.
kumtoa nyumbani kwa day walau 30k anaweza kuja, tena muwe mnajuana.
So simshangai kiroboto kukataa 500k.
Juma Nature pia hajapata shida?Hajapata shida huyo
Kwa hiyo walioenda pale kumbe wote wana shida?Hajapata shida huyo
Hiyo unayoita dharau ni kuwa wameshindwana kwenye malipo. Na ni kiki nzuri sana kwake, hata hivyo yeye pamoja na waandaaji wa matamasha hawatochukua fursa hii.Kiroboto sitaji andika sana ebu kaa na wadau mjini usisubilie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau iitisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu
Hiyo siku tuje turuke goma zako
Tupakue ugali
Tumuimbie radhia
Tulianzishe kigheto gheto
Tumtulize mtoto iddy
Tucheze hili game
Tuwatafute migambo
Tusifie muungano wa ccm na cuf
Wanakudharau wanasahau umewalea TMK
Inasemekana huko daslam ana madaladala mengi yanamuingizia chochote, ndo ikampa jeuri ya kukataaHUYU NATURE ANAESHINDA MBAGALA KWA MZUNGU PALE AKIOMBA BIA LEO ANAKATAA HELA??
Subiri ang'atwe mbu ndo utajua hata bima hanaInasemekana huko daslam ana madaladala mengi yanamuingizia chochote, ndo ikampa jeuri ya kukataa
Hii nchi Kuna watu wanapenda kujidhalilisha sana!!!Mpk aibuJuma Nature pia hajapata shida?
Umasikini wako kama unakupelekesha usidhani wote wanapelekeshwa!
Hahahaaaaa wanaojua nyimbo za nature wengi washaacha mambo ya starehe. Kweli atashaaAtaruka migambo peke yake.. asijaribu.
Maana wote tushazeekaHahahaaaaa wanaojua nyimbo za nature wengi washaacha mambo ya starehe. Kweli atashaa
Kizazi cha amapiano umletee mambo ya sitaki demu au shibe shibee wataelewa saa ngapiMaana wote tushazeeka