Juma Nature andaa Shoo yako kuonesha wewe ni mkubwa

Juma Nature andaa Shoo yako kuonesha wewe ni mkubwa

Juma Nature pia hajapata shida?
Umasikini wako kama unakupelekesha usidhani wote wanapelekeshwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani watu khaaah
 
wasanii wazamani hawataki kuendana na wakati wakati wa sasa ni mwendo wa kiki tuu. kiroboto aendeleze chokochoko maana watanzania wanapenda ujinga ujinga,

atoe tena dongo lingine kwa wasafi watu waendelee kuwa mdomoni.

aongee na diamond kabisaa kuusu huu mkakati.

tena hili awatumie clouds itamake sense atafuta na malegendary wengine wakumuunga mkono, kwa kifupi ajitoe ufahamu,

amtumie pia yule mtangazaji tumbo tumbo sijui anaitwa mujaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UONGO MTUPU,KAMA UKO DAR AU UNA NDUGU HUKU MWAMBIE APANDE GARI HADI MBAGALA MWISHO.
AKIFIKA PALE AMCHUKUE BODABODA YOYOTE AMPELEKE GUEST MOJA INAITWA MABANDA.UKIFIKA HAPO MABANDA ULIZIA KWA NATURE.UKISHAMUONA HUYO NATURE NA NYUMBA YAKE UTALIA.
BAADA YA HAPO RUDI HAPA UTUELEZE HIZO DALADALA ANAZOMILIK NDO AISHI KWENYE KIJUMBA KILE.
ANALEWA SANA MAENEO YA KWA MZUNGU PALE KWENYE KI PUB PORI
Tukubali kaisha, zama zimepita, sawa na sele baba tunda, alichowekeza kumsomesha tunda vizuri mpaka sua.
 
Back
Top Bottom