Juma Nature andaa Shoo yako kuonesha wewe ni mkubwa

Inasemekana huko daslam ana madaladala mengi yanamuingizia chochote, ndo ikampa jeuri ya kukataa
UONGO MTUPU,KAMA UKO DAR AU UNA NDUGU HUKU MWAMBIE APANDE GARI HADI MBAGALA MWISHO.
AKIFIKA PALE AMCHUKUE BODABODA YOYOTE AMPELEKE GUEST MOJA INAITWA MABANDA.UKIFIKA HAPO MABANDA ULIZIA KWA NATURE.UKISHAMUONA HUYO NATURE NA NYUMBA YAKE UTALIA.
BAADA YA HAPO RUDI HAPA UTUELEZE HIZO DALADALA ANAZOMILIK NDO AISHI KWENYE KIJUMBA KILE.
ANALEWA SANA MAENEO YA KWA MZUNGU PALE KWENYE KI PUB PORI
 
Kila kitu ni makubaliano...walikubaliana vip?...achukue hela hiyo kwanza
 
Yao yao
Aandae show yake daslam ya wakongwe wote awepo na jide komandoo,sugu,falsafa,Prof jizee,kiba,ney wa mitego,belle9,matonya tonya2,atapiga mkwanja wa kutosha
Na mmakonde hamonenga awe guest star 🌟
 
UONGO MTUPU,KAMA UKO DAR AU UNA NDUGU HUKU MWAMBIE APANDE GARI HADI MBAGALA MWISHO.
AKIFIKA PALE AMCHUKUE BODABODA YOYOTE AMPELEKE GUEST MOJA INAITWA MABANDA.UKIFIKA HAPO MABANDA ULIZIA KWA NATURE.UKISHAMUONA HUYO NATURE NA NYUMBA YAKE UTALIA.
BAADA YA HAPO RUDI HAPA UTUELEZE HIZO DALADALA ANAZOMILIK NDO AISHI KWENYE KIJUMBA KILE.
ANALEWA SANA MAENEO YA KWA MZUNGU PALE KWENYE KI PUB PORI
Acha story hizo
We necha unamjua
Sisi hatukujui
Huoni tofauti hiyo?🤣🤣
 
Acha story hizo
We necha unamjua
Sisi hatukujui
Huoni tofauti hiyo?🤣🤣
KARIB DAR NDUG MIKOANI MNA POROJO MNAZOSOMA MITANDAONI NA UHALISIA HAMUJUI,AU UNATAKA NA PICHA YA NATURE AKILEWA AU NYUMBA YAKE?
 
UONGO MTUPU,KAMA UKO DAR AU UNA NDUGU HUKU MWAMBIE APANDE GARI HADI MBAGALA MWISHO.
AKIFIKA PALE AMCHUKUE BODABODA YOYOTE AMPELEKE GUEST MOJA INAITWA MABANDA.UKIFIKA HAPO MABANDA ULIZIA KWA NATURE.UKISHAMUONA HUYO NATURE NA NYUMBA YAKE UTALIA.
BAADA YA HAPO RUDI HAPA UTUELEZE HIZO DALADALA ANAZOMILIK NDO AISHI KWENYE KIJUMBA KILE.
ANALEWA SANA MAENEO YA KWA MZUNGU PALE KWENYE KI PUB PORI
Bado hamjasema mtasema yote[emoji119][emoji23]
 
Juma Nature pia hajapata shida?
Umasikini wako kama unakupelekesha usidhani wote wanapelekeshwa!
Unamzungumzia Juma nature yupi? Huyu wa sasa au yule wa zamani..!!?? Hebu tazama post ya mtoa uzi, nyimbo zote za zamaaaniiii...!! Hii maana yake Juma anayetajwa hapa ni yule wa zamani. Wa sasa hana kitu..!! Akiweka show wataingia wachache sana, tena kwa buku 3. Zaidi ya hapo ataviimbia viti
 
Hahahaaaaa wanaojua nyimbo za nature wengi washaacha mambo ya starehe. Kweli atashaa
Tena wala asithubutu..!! Show hiyo ndo itakuwa kaburi lake kimuziki..!! Ni sawa na kusema leo hii Mr Nice afanye shoo na kilakshari pugu Kariakoo aone kama atawapata watu wengi
 
UONGO MTUPU,KAMA UKO DAR AU UNA NDUGU HUKU MWAMBIE APANDE GARI HADI MBAGALA MWISHO.
AKIFIKA PALE AMCHUKUE BODABODA YOYOTE AMPELEKE GUEST MOJA INAITWA MABANDA.UKIFIKA HAPO MABANDA ULIZIA KWA NATURE.UKISHAMUONA HUYO NATURE NA NYUMBA YAKE UTALIA.
BAADA YA HAPO RUDI HAPA UTUELEZE HIZO DALADALA ANAZOMILIK NDO AISHI KWENYE KIJUMBA KILE.
ANALEWA SANA MAENEO YA KWA MZUNGU PALE KWENYE KI PUB PORI
😂 Pale kwa mzungu hua namkuta Mara kibao .
 
Kuna fundi wangu hata kama hana kazi na ikatokea labda dayworker ya 25k wala hawezi kwenda.

Kumtoa nyumbani kwa day walau 30k anaweza kuja, tena muwe mnajuana.

So simshangai kiroboto kukataa 500k.
Fundi wako hajakwama bado, Kuna kipindi unaweza kukosa 500 nauli ya bus kutoka kituo kimoja kwenda kingine
 
Back
Top Bottom