Juma Nature asema yeye ndio mwenye ubavu wa kupambana na Diamond kwa sasa

Nmemskia Raymond Mzee... Mond amefanya kitu kizur sana awanyanyue madogo then kaz aanze kupiga kwenye studio yake bt kwa jina lake lilivyokubwa nlipenda aanze kupiga live band atatisha sana mzee
ahahahahah...
najua LIVE band ndo ugonjwa wako mzee...
lakini ukweli unabaki kuwa ni wasanii wachache sana AFRICA wanaweza fanya hiyo kitu ya LIVE band...
hili jambo sio la kubisha..!!!
 
ahahahahah...
najua LIVE band ndo ugonjwa wako mzee...
lakini ukweli unabaki kuwa ni wasanii wachache sana AFRICA wanaweza fanya hiyo kitu ya LIVE band...
hili jambo sio la kubisha..!!!
Kweliii ila ndo muziki wa dunia mm mond namkubali sana ila linapokuja suala la kumlinganisha na kiba ndo huwa nakuwa tofaut... Me najua yule jambaz akiamua live band anagonga na atatisha mbaya me mgonjwa wa live band mzee
 
VP kuhusu matokeo ya tuzo za kora awards-2016.
Wanatuzingua.
Team Kora-2016 hawaweki Big Results Now kwanini.?
Wadau?
 
Nmemskia Raymond Mzee... Mond amefanya kitu kizur sana awanyanyue madogo then kaz aanze kupiga kwenye studio yake bt kwa jina lake lilivyokubwa nlipenda aanze kupiga live band atatisha sana mzee

Kumbe huwa unajielewa muda flani... Wasanii sio substitutes, ukilifahamu hili huwezi kupata shida...!!
 
VP kuhusu matokeo ya tuzo za kora awards-2016.
Wanatuzingua.
Team Kora-2016 hawaweki Big Results Now kwanini.?
Wadau?

Hawa watu dizain kama hawaeleweki hiviii, maana sioni mwemko wa wasanii hta kidogo.. Inawezekana imekuwa cancelled..
 
Na hizo ndio athari za BIA ZA MAKARATASI.
 
Nature ndio rais wa Temeke,
Mshaurini Diamond asithubutu kukubali hilo pambano,
Ataangukia pua na kuvunja pingili za mgongo bureeee.

(UTAONA WATU WATAKAVYOPANIC SASA :-D)
Nature jukwaan siyo mtu mzuri asije mtu AKATHUBUTU hahahahaaaa ataoga aibu ya mwaka
 
Humkumbuki? si yule alitaka kushindana na Sinta alafu aliposhindwa, akaanza kulia "inaniuma sana......" Sasa anataka tena mashindano akishindwa aanze kulia tena.
oh yule mwembamba ,mdogo mdogo hivi[emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Dogo sasa hivi yupo viwanja na timu kubwa kuanzia mama, bintie na partner wake plus wadau wake katika kazi, na hii inaonyesha yupo vizuri
 
Unajua nyimbo za kiba hazinaga vina anaimbimba tu
Skiza me naskiza zote Mzee na ndo maana najua hata tofauti ya hawa madogo wawili sawa mheshimiwa diamond msanii mzuri ila utunzi na sauti kaachwa hiyo mfuate mtu yyte anayejua muziki atakwambia
Utunzi upi wa nyimbo bila vina muulize Niki mbishi atakujibu kuhusu utunzi wa domo anasema kwa wabana pua domo anafata taratibu zote za utunzi kiba labda kubana pua tu ndo anachomshindia domo lkn utunzi kiba atasubili sana kubali kataa lkn ukweli ndo huwo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…