Juma Nature asema yeye ndio mwenye ubavu wa kupambana na Diamond kwa sasa

Nazungumzia MUZIKI unazungumzia USHABIKI hatuez elewana sawa kiba hana vina wala nn ila kasome fasihi aina za fasihi kajifunze juu ya wanamapokeo na wana usasa afu skiza vizur nyimbo za kiba kisha oga lala.
 
Nakumbuka pambano la mwisho kabisa la Mike Tyson...
 
Usikimbie swali elewa swali walikuwa wote kategori ngapi hizo tuzo???
Ivi ww jamaa kiba mziki kaanza lini na kabla ya izo tuzo za mwaka Jana kiba alikuwa hajawai kuwa nominated unafurahisha Sana sana ww kaka kiba kaanza mziki 2005 uko domo kaanza 2009 but nani mwenye mafanikio kweny mziki nyie mashabiki wa kiba huwa nahisi uelewa wenu mdogo sana
 
Ww j
Nazungumzia MUZIKI unazungumzia USHABIKI hatuez elewana sawa kiba hana vina wala nn ila kasome fasihi aina za fasihi kajifunze juu ya wanamapokeo na wana usasa afu skiza vizur nyimbo za kiba kisha oga lala.
Ww jamaa nina mashaka na uelewa wako utakuwa una uelewa mdogo sana umesema utunzi nimekujibu but umekimbilia kwenye fasihi ww akili ndogo ebu ekezea nn maana ya utunzi
 
Ukwel mchungu ni kwamba wakat wote Diamond anabebwa. Anae bisha na aendelee kubisha
 
Hahahahaaaa ubaitenganishaje sanaa ya muziki na fasihi kiazi ww hahahaaaaaa sikujua kama najibishana na mwehu.
Fasihi Ina matawi pamoja na mziki sawa but nachotaka kujua kutoka kwako nn maana ya utunzi kwa uelewa wako.....no!ekwambia iv kiba Anachomzid domo ni kubana pua tu lkn ukiangalia utunzi kiba akasome nymbo zake nyingi hazina vina na mizani anaimba imba kama nyimbo za aic chang'ombe vijana choir
 
Hujajibu swali unasema hajawah kuwa nominated wakat mtu alichukua tuzo kiaz ww
2010 ndo diamond up coming alichukua tuzo tatu mbele ya king mavi wako mpk alitishia kujitoa.....mshukuruni wema sepetu kwa chapuo alilowafanyia na kama kweli kiba anaamini mziki wake mkubwa ajaribu kumzingua sepenga kama utamsikia tena
 
Muziki umechelewa sana kufuatilia poleeeee... Mond intake yake na belle na watu walizungumzia sana Mond kuchukua tuzo tatu mbele ya belle na siyo kiba kimba la mwisho ww hahahahahaaaaaa.....
 
Muziki umechelewa sana kufuatilia poleeeee... Mond intake yake na belle na watu walizungumzia sana Mond kuchukua tuzo tatu mbele ya belle na siyo kiba kimba la mwisho ww hahahahahaaaaaa.....
Unapenda sana kutukana mkuu
 
Juma nature atoe nyimbo watu watapima wenyewe,mambo ya kuomba league ili kupata kick na hela aache-zama zake hazikua hizo-kila msimu unakuwa na watu wake,sasa ni zamu ya diamond platnumz
 
Muziki umechelewa sana kufuatilia poleeeee... Mond intake yake na belle na watu walizungumzia sana Mond kuchukua tuzo tatu mbele ya belle na siyo kiba kimba la mwisho ww hahahahahaaaaaa.....
Kila mara nakwambia ww akili ndogo na sishangai coz team kiba wote ndo mlivo akili size za diclopa so sishangai......bila sepenga ata izo tunzo za mwaka jana mngezisikia kwny bomba tu......tunaongea kuhusu kiba unatuletea belle 9 unajielewa kweli ww
 
Juma nature mjanja kidogo sio sana.
Anatafuta kick .
Hawa hawachelewi kusema
Serikali haiwajali...
juma nature ni mkaliii wa jukwaaaniiiii balaaaaa ...yaanii akiiingiagaaa tuu kalee ka mdundo ka wimbo mwanzoniii watuuu mzukaa juuuu hata ww unaweza jikuta unasema woyooooooo...huyu jamaa ni hatarii mfano chukuliaa ka wimbo ka mgambo wanaluka na kukanyagana kanavyoanzagaa..mkali wa free style alikuwa ngwair lakini wa jukwaanii ni juma nature sio diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…