Juma Nature asema yeye ndio mwenye ubavu wa kupambana na Diamond kwa sasa

Saana tuu
 
Aliposema Anataka Kupambana Na Diamond Uwanja Wa Taifa, Hii Ni "Dili" Ya Pesa Mkuu Aujashtuka?? Si Mapambano Ni Mapambano Kwa Maana Ya "Dili"
Hiyo maana umetunga au ndicho walichomaanisha hapo
 
Kiba atawaua nyny hahahahaaaaa Bongo yake hii haimsumbui na ndo maana mond hashindanishwi na Belle, jux, Ben pol wala nani semeni tu ukweli kwamba jamaa ni hatari na anawanyima usingizi
Kiba amnyime nanivusingizi,hebu niombe radhi afadhali ungeniambia shetta ningetetemeka
 
Mkuu shirikisha basi ubongo kidogo,huwezi hata kugoogle!..hiyo habar ni toka Kenya,sasa jiulize kama Kenya hawamjui au in makusudi!
Jitekenye tuuu gazet hilo nmekuwekea Mzee me sina neno NASEEEEEEPA napataje muda wa kujadili kitu kilicho wazi kwa mfano??????????????...sidhani kama nna muda huo mpe hi KENYAN RAPPER #diamondplatnamz
 
Hao ndio wanaofanya Bange ionekane kitu cha haramu
 
Global citizen ambaye south hawajui anapotokea wala muziki anaoufanya?.. Kuwa serious bas.
mkuu me huwa nakushangaa sana Ila tatizo ni ushabiki ulopitiliza
kwanin wapendelea kushikilia sana vitu vidogo Mara tuzo 5 Mara Kenyan rapper diamond HIV magazeti hayakosei eeeh!!mafikuzolo walimjuaje mond,hiv wale viewers mamilion YouTube in wa tz peke ake eeh hebu tuache kujitia upofu wakati mwengine!!
tuzo ka mtvema worldwide act ni msanii gani wa Africa asozijua.
we ka wamkubali msanii flan basi baki kumshabikia huyo Ila isiwe sabab ya kumkataa msanii mwengine utashinda tu kila siku kuweka ligi za team cjui Nan humu Ila watu hawakuelewi tena wanakushangaa coz peke ako ndo wabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…