Rahabu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 5,526
- 3,341
Saana tuuanataka atembelee nyota ya diamond kama ali kiba...
mziki wamefeli wenyewe walipopata fursa sasa mwenzao ameishika wanataka watumie kushindana nae nao waonekane na kutajwa tajwa..
hakuna haja ya mashindano uwanjani.. do your best mashabiki tutaona uwezo.
sijawai kuona diamond akiomba mashindano na mtu