Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

Ninavyomfahamu JUma Nature ni kwamba alizaliwa mwaka 1980 na kwa sasa ana 43, sababu mwenzake Mulla na mmoja wao kwenye kundi lao la muziki la TMK nimemsahau jina, niliwapita madarasa mawili pale Kibasila nilikuwa naishi nao jirani kota za Bora pale Keko
 
37 as thirty seven au??
 
Juma Nature amesoma na Doro darasa moja Mkuu. Na wakakutana na kuwa pamoja kwenye TMK na Wachuja Nafaka. Wote ni wa 1980.
 
kiroboto atakuwa anakimbilia kwenye 50 ni utamaduni wa watanzania kupenda kuonekana wadogo. Mwaka 2002 album ya ugali inatoka mpaka leo ni 21, anataka kusema alikuwa na na miaka 17?
Wakati anatoa ugali kwa kukadiria alikuwa na zaidi ya miaka 25
 
Hahhah,mimi nina miaka 18.Huyu Juma mimi nipo primary ninamsikia mimi nina 36 na July ninagonga 37.Yeye ana 37 haya bwana.
Duh! Nilikuwa nakuona kama mmama hivi kumbe duh! Nisalimie kaka yako!
Aisee kumbe nimekula chumvi kiasi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸš¬πŸš¬πŸš¬
 
Yeye mwenyewe anasema ana 37 na ameomba asikilizwe, kwahiyo hatuna namna acha tumsikilize tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…