Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

Uongo wa karne ..enzi za nature kuna mwamba alikua promoter wake..promoter alikua wa 1978 lakini nature akawa anamuit a promoter mdogo wangu .akibisba aseme nimkumbushe promoter jina gani na walikua marafiki mno..nature hakosi 44
 
Hahhah,mimi nina miaka 18.Huyu Juma mimi nipo primary ninamsikia mimi nina 36 na July ninagonga 37.Yeye ana 37 haya bwana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pesa hawana,ukitizama Sina pesa ohhh pesa,akaunti zimenuna!!
Mtu kama Lady jay D,hawezi kuogopa umri,hata lishangazi shish baby,umri kwake sio shida,ila Hawa,uwoya,Kamala,wema,siku zote wanataka waonekane kama zuchu au luby
 
Jamani acheni kuwakalia kooni wahenga,Umri unatisha kama huna kitu,harafu unaona madogo wanaupiga mwingi!na wewe hata deal huna,
Yaani Nature anataka kusema yeye na Mond ni lika Moja!!!
 
[emoji1787][emoji1787]
 
We
Wema Sepetu hayupo chini ya 35

Kivipi toka 2006 hadi 2023 ni miaka 17.
Tuchukulie alikuwa miss akiwa na miaka 18.
17+18=35
Kwa hiyo, Wema ana 35
Wema kipindi anashinda taji la miss Tz alikua na miaka 16
 
Why watu wanapenda kuonekana wadogo? Hata shikamo hawataki! Basi tukubariane hii salamu ifutwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…