AbuFizzer
Member
- Jun 5, 2016
- 94
- 324
Amekosea katika kila jambo mzee Njemba aliishi kwenye mtaa uliokuwa na jina la labial lake " Wahombo" ni barbara ya 3 toka Kituo cha basi cha mwisho cha zamani ambako zipo ofisi za ACT MKOA.Hapo kwenye mwaka Wa kifo chake nadhani umekosea mkuu...ila sina uhakika....nakumbuka alikuwa anakaa mitaa kama unaelekea solo LA kagera..tulikuwa tukipita pale tunaambiwa tusipige kelele...siku moja nilimkuta ameket pale barabaran kwake chini ya mti nilitetemeka.
nyumba yake ilikuwa na miti minne mbele ya nyumba aina ya misonobari, alipenda kukaa juu ya kiti chink ya mti mmoja pale, wengi walipita kwa nidhamu sana, lakini hakuna aliyevunjikiwa na heshima au kuhofishwa.