Habari za Juma Njemba especially his dark side ni kweli tena kuna mengine LIKUD hajayasema, yeye ulikuwa ukifika unaeleza shida yako tu kama mtu humtaki, first of all anakuuliza unataka nn, unamwambia muue, anakujibu sasa hivi au afe taratibu ukisema now yan biashara imeisha, ndo unakuwa umekwenda na maji. next time nitaeleza habari zingine haswa za binti Rukungu na wengine wa kitambo hicho though am not interested.
Enzi hizo za kigoma dawa za mazindiko zilikuwa nyingi mnoo, kuna vitu ukiambiwa utadhani ni stori kumbe ni kweli.
ushawahi kusikia dawa za kukwepa sumu?, mfano mtu akikuwekea sumu kwenye ugali yani pindi anapokuletea ugali mezani, ugali hupasuka katikati vipande kama vinne au zaidi, kama ameweka kwenye glass la maji basi jua glass itapasuka pindi unapotaka kumpa mnywaji.
ushawahi sikia kuhusu dawa ya kukwepa ajali? yani machale yanakucheza kuwa kuna ajali mbele yani kitendo cha wewe kushuka tu gari halifiki hata mita mia ajali hutokea.
kuna meengi saana, though kuhusu mrithi wa Juma Njemba sina hakika nayo hata akiwepo basi atakuwa hana nguvu .