Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Nyie
Moja kati ya sifa za mpumbavu ni kujifanya anajua kila kitu..na kimbilio lake Ni matusi.Mkuu acha tabia hizo hufanani nazo..usidhani ni ww pekee ndio unaemjua Mzee Juma
Huwezi kutapeli watu halafu nikuangalie hivi hivi.
Acha ujinga..wana jf kuweni makini na hawa matapeli
 
Who are you trying to fool.here? Tarehe 24 /11/2007 ilikuwa Jumamosi na sio Alhamisi kama unavyo jidanganya ukidhani utawashawishi watu wakufuate ...Narudia tena acha ujinga mkuu..acha ulaghai na utapeli..Juma Njemba alifariki mwaka 2001 na aliyerithi mikoba yake alikufa muda mfupi baada ya arobaini ya Juma Njemba ...Acha utapeli mkuu I will expose u
Acha ujinga exposing haha haha nenda kigoma ujiji waambie namtaka Mwinyi mbegu Mtt wa marehemu Mzee Njemba

Unadhani sote tuna njaaa umekazana kwamba kunataka kufanywa utapeli kwa kukupinga ktk uongo wako ni wazi wewe ndiye unataka kutapeli watu hapa tulia dawa ikuingie

Humjui Jumaa njemba wala Bugoi huijui hata punje

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Nyie
Huwezi kutapeli watu halafu nikuangalie hivi hivi.
Acha ujinga..wana jf kuweni makini na hawa matapeli
Ukimaliza kuropoka uje utuambie nani aliyetapeliwa Kama si wewe unayetafuta credibility kwa kujifanya unaifahamu historia ya Chief njemba na usijue lolote kumuhusu

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
1. mkuu, hapo nilipo bold na kupigia mstari nikuwa,"sio watu wakipeleka pungufu" ila ni wakileta pungufu?
kwa sentensi hiyo inaonyesha au umeonyesha kwa mausudi wewe ni sehem ya familia au ni mtoto wake?

2. Kama binti yake wa mwisho alizaliwa 1994, kwahiyo most likely alimzaa binti huyo yeye akiwa na umri wa miaka 76 au zaidi right? Na mama wa huyu binti kuna uwezekano yupo hai bado, maana inaonyesha hakuwa wa makamo sana.

3. kwa namna unavyo andika, hivi wewe sio kweli yule mwanaye ambaye ni mwandishi wa habari?

BTW, mleta uzi #Likud ni mtu ambaye ana heshima sana hapa jukwaani na, binafsi huwa sinaga mashaka naye kabisa pamoja na nduguye #barafu

Sijaona tofauti kubwa sana baina yenu juu ya Mzee Juma Njemba, kwani wewe AbuFizzer umeeleza katika kuigamia only positive side yake, jambo ambalo yeyote angefanya katika kuitetea familia yake......na #Likud ameeleza the otherside ya coin ulioishika!
Huyu unayemuamini Leo kaleta uongo

Kumetajwa mengi ya upotoshaji kunogesha andiko Lake sijui anaokoteza wapi

Amekuwa hallucinated sasa awapa watu tuhuma za utapeli

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga exposing haha haha nenda kigoma ujiji waambie namtaka Mwinyi mbegu Mtt wa marehemu Mzee Njemba

Unadhani sote tuna njaaa umekazana kwamba kunataka kufanywa utapeli kwa kukupinga ktk uongo wako ni wazi wewe ndiye unataka kutapeli watu hapa tulia dawa ikuingie

Humjui Jumaa njemba wala Bugoi huijui hata punje

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Kutapeli watu mwisho Instagram..eti mjukuu wake...
 
Habari za Juma Njemba especially his dark side ni kweli tena kuna mengine LIKUD hajayasema, yeye ulikuwa ukifika unaeleza shida yako tu kama mtu humtaki, first of all anakuuliza unataka nn, unamwambia muue, anakujibu sasa hivi au afe taratibu ukisema now yan biashara imeisha, ndo unakuwa umekwenda na maji. next time nitaeleza habari zingine haswa za binti Rukungu na wengine wa kitambo hicho though am not interested.

Enzi hizo za kigoma dawa za mazindiko zilikuwa nyingi mnoo, kuna vitu ukiambiwa utadhani ni stori kumbe ni kweli.
ushawahi kusikia dawa za kukwepa sumu?, mfano mtu akikuwekea sumu kwenye ugali yani pindi anapokuletea ugali mezani, ugali hupasuka katikati vipande kama vinne au zaidi, kama ameweka kwenye glass la maji basi jua glass itapasuka pindi unapotaka kumpa mnywaji.

ushawahi sikia kuhusu dawa ya kukwepa ajali? yani machale yanakucheza kuwa kuna ajali mbele yani kitendo cha wewe kushuka tu gari halifiki hata mita mia ajali hutokea.

kuna meengi saana, though kuhusu mrithi wa Juma Njemba sina hakika nayo hata akiwepo basi atakuwa hana nguvu .
 
Umeumbuka mkuuu umebaki kukalia ncha nyembamba ya kujiamini
Nenda kafie Sudan.. Uzuri nimeshawatahadharisha watu kuhusu ulaghai mnao taka kuufanya...jf members..be warned
 
Habari za Juma Njemba especially his dark side ni kweli tena kuna mengine LIKUD hajayasema, yeye ulikuwa ukifika unaeleza shida yako tu kama mtu humtaki, first of all anakuuliza unataka nn, unamwambia muue, anakujibu sasa hivi au afe taratibu ukisema now yan biashara imeisha, ndo unakuwa umekwenda na maji. next time nitaeleza habari zingine haswa za binti Rukungu na wengine wa kitambo hicho though am not interested.

Enzi hizo za kigoma dawa za mazindiko zilikuwa nyingi mnoo, kuna vitu ukiambiwa utadhani ni stori kumbe ni kweli.
ushawahi kusikia dawa za kukwepa sumu?, mfano mtu akikuwekea sumu kwenye ugali yani pindi anapokuletea ugali mezani, ugali hupasuka katikati vipande kama vinne au zaidi, kama ameweka kwenye glass la maji basi jua glass itapasuka pindi unapotaka kumpa mnywaji.

ushawahi sikia kuhusu dawa ya kukwepa ajali? yani machale yanakucheza kuwa kuna ajali mbele yani kitendo cha wewe kushuka tu gari halifiki hata mita mia ajali hutokea.

kuna meengi saana, though kuhusu mrithi wa Juma Njemba sina hakika nayo hata akiwepo basi atakuwa hana nguvu .
Haya ndio mambo tunayo yataka mkuu ..shusha nondo na Mimi badae nitashusha zangu..

Kuhusu kukwepa ajali inasemekana ndio zindiko lililo msaidia Zitto mwaka 2008 kwenye ajali ya Salome Mbatia..
 
mkuu nisome vizuri, mimi huwa sijawahi kuwa na mashaka juu yako
Pamoja sana.halafu sur name yako unajua ni jina kubwa sana katika ulimwengu wa waganga na wachawi? Unamjua ndege wa porini anaitwa Msese ? Unajua kuhusu matumizi yake ? Ukoo wenu MNA uhusiano wa kiroho na huyo ndege au ni jina tu? MNA miiko YOYOTE mnayo ifuata kuhusu huyo ndege?
 
Back
Top Bottom