LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #461
Namba 5. Huyo sio mwanafamilia ni tapeli na laghai..Kwanza wanafamilia na ukoo they even feel ashamed to be associated with him.Nilichojifunza
1.juma njemba alikuwa mganga mchawi wa kuogopwa
2.aliua watu
3.alifariki
4.likud ameleta histiroa ya upande mmoja
5.mwana familia kaja kuleta upande mzuri
6.njemba alikuwa mchawi.
7.hakuna aliyerithi mikoba mwenye nguvu kama njemba
Basi
Huyo ni mjinga mjinga mmoja tu anataka uspuni ili akate goto