Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Nilichojifunza
1.juma njemba alikuwa mganga mchawi wa kuogopwa
2.aliua watu
3.alifariki
4.likud ameleta histiroa ya upande mmoja
5.mwana familia kaja kuleta upande mzuri
6.njemba alikuwa mchawi.
7.hakuna aliyerithi mikoba mwenye nguvu kama njemba
Basi
Namba 5. Huyo sio mwanafamilia ni tapeli na laghai..Kwanza wanafamilia na ukoo they even feel ashamed to be associated with him.
Huyo ni mjinga mjinga mmoja tu anataka uspuni ili akate goto
 
Nilichojifunza
1.juma njemba alikuwa mganga mchawi wa kuogopwa
2.aliua watu
3.alifariki
4.likud ameleta histiroa ya upande mmoja
5.mwana familia kaja kuleta upande mzuri
6.njemba alikuwa mchawi.
7.hakuna aliyerithi mikoba mwenye nguvu kama njemba
Basi
Ni haki yako na ni heshima kuamini ulichoelewa
 
Hata waganga wa kienyeji wanapenda kumtaja Mungu japo wao ni mawakala wa shetani
Shetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot him
 
Usiwaze mkuu mimi nasubiri unitag tu. Shusha vitu
 
Ukimaliza kuropoka uje utuambie nani aliyetapeliwa Kama si wewe unayetafuta credibility kwa kujifanya unaifahamu historia ya Chief njemba na usijue lolote kumuhusu

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
What is credible about a ruthless,fetish and heathen devil like Juma Njemba?
 
Shetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot him
Kwa hiyo tapeli kakuzuia kuendelea kutoa nondo?
Umemjali yeye zaidi.
 
Shetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot him
Achana naye we shusha Nondo.
 
Uchawi wa kutesana na kuuana badala ya kujenga madaraja.
Matokeo yake wachina wanakuja kufanya makafara kwetu na kujenga madaraja marefu
madaraja kama yale wayajengayo siria na iraq afghanistan na iran,wazungu.
 
Back
Top Bottom