Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Amekosea katika kila jambo mzee Njemba aliishi kwenye mtaa uliokuwa na jina la labial lake " Wahombo" ni barbara ya 3 toka Kituo cha basi cha mwisho cha zamani ambako zipo ofisi za ACT MKOA.

nyumba yake ilikuwa na miti minne mbele ya nyumba aina ya misonobari, alipenda kukaa juu ya kiti chink ya mti mmoja pale, wengi walipita kwa nidhamu sana, lakini hakuna aliyevunjikiwa na heshima au kuhofishwa.
 
Alifariki 24/11/2007 usiku wa Alhamisi na alizikwa Ijumaa saa kumi alaasir. Na ni hakika mtaa wake hupitiwa na watu kwenda Kagera sokoni
 
Mkuu ww unamjua sana ..hujakosea
 
Kuna Mzee alikuwa akisimulia jinsi juma njemba alivyopata elimu ile na wenzake na mwalimu wao ..aisee ujiji ilitisha Ni hatari
 
Watu wa Kigoma wanaamini sana ujinga wa uchawi,sasa nae huyo Juma mbona alikufa, ngoja tumsubiri mh Zitto aje atusimulie kwanza,sijui nae kama ana mini hizo shughuli
 
Hahahaha jaribu tena mkuu ila haibiwi MTU hapa
 
Acha kudanganya watu mkuu ..I will expose you
 
Alifariki 24/11/2007 usiku wa Alhamisi na alizikwa Ijumaa saa kumi alaasir. Na ni hakika mtaa wake hupitiwa na watu kwenda Kagera sokoni
Who are you trying to fool.here? Tarehe 24 /11/2007 ilikuwa Jumamosi na sio Alhamisi kama unavyo jidanganya ukidhani utawashawishi watu wakufuate ...Narudia tena acha ujinga mkuu..acha ulaghai na utapeli..Juma Njemba alifariki mwaka 2001 na aliyerithi mikoba yake alikufa muda mfupi baada ya arobaini ya Juma Njemba ...Acha utapeli mkuu I will expose u
 
Nakumbuka nimepata taarifa za msiba wake muda mfup baada ya kuondoka kigoma.Nimeondoka kigoma rasmi tarehe 18 may 2007.
 
Huu nao ni aina ya uongo mkubwa. Alikuwa hadi Bure akiwatumikia watu, na Zaidi wakileta pungufu huwasamehe

1. mkuu, hapo nilipo bold na kupigia mstari nikuwa,"sio watu wakipeleka pungufu" ila ni wakileta pungufu?
kwa sentensi hiyo inaonyesha au umeonyesha kwa mausudi wewe ni sehem ya familia au ni mtoto wake?

2. Kama binti yake wa mwisho alizaliwa 1994, kwahiyo most likely alimzaa binti huyo yeye akiwa na umri wa miaka 76 au zaidi right? Na mama wa huyu binti kuna uwezekano yupo hai bado, maana inaonyesha hakuwa wa makamo sana.

3. kwa namna unavyo andika, hivi wewe sio kweli yule mwanaye ambaye ni mwandishi wa habari?

BTW, mleta uzi #Likud ni mtu ambaye ana heshima sana hapa jukwaani na, binafsi huwa sinaga mashaka naye kabisa pamoja na nduguye #barafu

Sijaona tofauti kubwa sana baina yenu juu ya Mzee Juma Njemba, kwani wewe AbuFizzer umeeleza katika kuigamia only positive side yake, jambo ambalo yeyote angefanya katika kuitetea familia yake......na #Likud ameeleza the otherside ya coin ulioishika!
 
AbuFizzer ni tapeli na wewe utakuwa mwenzake tu..Acheni.kuhadaa watu nyie..wana.jf kuweni makini na.matapeli.hawa...be warned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…