Namba 5. Huyo sio mwanafamilia ni tapeli na laghai..Kwanza wanafamilia na ukoo they even feel ashamed to be associated with him.Nilichojifunza
1.juma njemba alikuwa mganga mchawi wa kuogopwa
2.aliua watu
3.alifariki
4.likud ameleta histiroa ya upande mmoja
5.mwana familia kaja kuleta upande mzuri
6.njemba alikuwa mchawi.
7.hakuna aliyerithi mikoba mwenye nguvu kama njemba
Basi
Huwezi kupata madhara Kama hujamdhuru mtu Kigoma. Lakini muhimu mtegemee Mungu. Yeye ni jibu na njiaAsante Abuu,ila sijakuelewa dharma ndio nini?
Ni haki yako na ni heshima kuamini ulichoelewaNilichojifunza
1.juma njemba alikuwa mganga mchawi wa kuogopwa
2.aliua watu
3.alifariki
4.likud ameleta histiroa ya upande mmoja
5.mwana familia kaja kuleta upande mzuri
6.njemba alikuwa mchawi.
7.hakuna aliyerithi mikoba mwenye nguvu kama njemba
Basi
Huwezi kupata madhara Kama hujamdhuru mtu Kigoma. Lakini muhimu mtegemee Mungu. Yeye ni jibu na njia
Ahsante sanahaya nimekuelewa..thanks
Shetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot himHata waganga wa kienyeji wanapenda kumtaja Mungu japo wao ni mawakala wa shetani
Usiwaze mkuu mimi nasubiri unitag tu. Shusha vituShetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot him
What is credible about a ruthless,fetish and heathen devil like Juma Njemba?Ukimaliza kuropoka uje utuambie nani aliyetapeliwa Kama si wewe unayetafuta credibility kwa kujifanya unaifahamu historia ya Chief njemba na usijue lolote kumuhusu
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tapeli kakuzuia kuendelea kutoa nondo?Shetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot him
Achana naye we shusha Nondo.Shetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot him
we mwenyewe unajiita god.Umenitia kinyaa uliposema "..aliogopwa kama Mungu..." nani wa kufanana na Mungu?
madaraja kama yale wayajengayo siria na iraq afghanistan na iran,wazungu.Uchawi wa kutesana na kuuana badala ya kujenga madaraja.
Matokeo yake wachina wanakuja kufanya makafara kwetu na kujenga madaraja marefu
Tag me mkuuOkay stay tuned nondo zaja
Aisee!We huna hata tunguli aka rada?
Umeambiwa Juma njemba Hakuwa na Dada alikuwa na ndugu wa kiume pekeee yaani wa kuzaliwaMsome vizuri Fuma mkuu.
Hahahahahaha naona fikra zilizo hai ziko makini muulize vyemaKwa hiyo tapeli kakuzuia kuendelea kutoa nondo?
Umemjali yeye zaidi.