Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

hapo kwenye kuua mlikua mnaingia kwenye chumba maalum kina giza halafu kinaletwa kitu kama kioo , pale alikua anakishika anakuuliza umedhamiria ukikubali basi yule mtu anavutwa kwenye kioo sasa unachagua afe taratibu au haraka.
Yaani na wewe umeshawahi kushiriki!?
 
Hivi jamani ni kweli kabisa mmeshiriki hizi biashara! Mungu awatazame!
 

Ni ngumu sana kumtilia mashaka #LIKUD kwani kuna jambo la muhimu sana ameuliza kwako, na ametoa ushahidi!
Kuwa umesema Mzee Njemba alikufa siku ya alhamis, na tarehe ukaitaja!
Likud ametoa ushahidi kuwa tarehe ulioitaja haikuwa alhamis,,,!
 

Pamoja mkuu!
Hili ni jina tu la humu, ijapo huyo ndege namjua ila sina ufahamu wowote juu yake!
 
Kwa namna ya uandishi wako wewe ni Mtu wa Ujiji
 
Yaani mji uwe na simanzi kwa kuondokewa na mchawi mkubwa, unajua acha kumtetea huyo baba yako wewe!
 
Hahaaa....daah!
 
Unaelekea kwa LIKUD
 
Alikua mushriki usimtetee kaka!we peke yako ndo umtetee...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…