AbuFizzer
Member
- Jun 5, 2016
- 94
- 324
Hahahahahahahh ni mtazamo tu huo, kuona miaka hii kuna watu wanaamini nguvu za Giza ni adabda kadabra tu.Nami nitoe mtazamo wangu kuhusu Likud na AbuFizzer
Kwanza niseme tu Mimi ni mzaliwa wa Gungu(kigoma), japokuwa umri wangu ni late 20s kuna mambo machache nayafahamu kuhusu Juma Njemba.
Mvutano kati ya Likud na Abufizzer ni wa kutaka kuonesha kuwa nani anamfahamu Zaidi Juma Njemba. Likudi ameelezea dark side ya mzee huyu maarufu wa kimanyema ambapo katika Maelezo yake, kuna ukweli mwingi na mengine ni chumvi. Mfano, hilo la kuoa wake 200 Nina shaka nalo,
Abufizzer anaonekana kuwa ndugu wa karibu wa Njemba au moja ya wana familia wa ndani. Anachofanya kutetea kuwa mzee Njemba hakuwa anaogopeka kwa mambo hayo ni kutaka kutunza siri ya familia tu. Mara nyingi watu wanaofanya shughuli hizi za kichawi na kishirikina huwa wanajificha kwenye dini ya kiislamu na kujifanya wasomaji wa kitabu cha quraan. Ila kiukweli, wanaua, wanatibu, wanafanya kila aina ya mandava ya darkside.
Mengi aliyosema LIKUD ni kweli, na anayosema Abufizzer ni "story counterbalance" tu.
Njemba aliogopeka, achana na yule jamaa
Fanyeni am a muokoke au msilimu