Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Nami nitoe mtazamo wangu kuhusu Likud na AbuFizzer

Kwanza niseme tu Mimi ni mzaliwa wa Gungu(kigoma), japokuwa umri wangu ni late 20s kuna mambo machache nayafahamu kuhusu Juma Njemba.

Mvutano kati ya Likud na Abufizzer ni wa kutaka kuonesha kuwa nani anamfahamu Zaidi Juma Njemba. Likudi ameelezea dark side ya mzee huyu maarufu wa kimanyema ambapo katika Maelezo yake, kuna ukweli mwingi na mengine ni chumvi. Mfano, hilo la kuoa wake 200 Nina shaka nalo,

Abufizzer anaonekana kuwa ndugu wa karibu wa Njemba au moja ya wana familia wa ndani. Anachofanya kutetea kuwa mzee Njemba hakuwa anaogopeka kwa mambo hayo ni kutaka kutunza siri ya familia tu. Mara nyingi watu wanaofanya shughuli hizi za kichawi na kishirikina huwa wanajificha kwenye dini ya kiislamu na kujifanya wasomaji wa kitabu cha quraan. Ila kiukweli, wanaua, wanatibu, wanafanya kila aina ya mandava ya darkside.

Mengi aliyosema LIKUD ni kweli, na anayosema Abufizzer ni "story counterbalance" tu.

Njemba aliogopeka, achana na yule jamaa
Hahahahahahahh ni mtazamo tu huo, kuona miaka hii kuna watu wanaamini nguvu za Giza ni adabda kadabra tu.
Fanyeni am a muokoke au msilimu
 
kuna watu eti wanabisha humu"" huyo juma njemba alikuwapo kweli " wazazi wangu waliwahi nihadithia habari zake " aiseee alikuwa nimtu hatari mnooo", though ninarafiki yangu aliwahi kumuoa mjukuu wake but now wameshatalikiana " na " huyo rafiki yangu anaishi UAE kwa sasa
Alioa mjukuu wake??? Au mjukuu wa vivuli vyake?
 
Mkuu hyo ELIMU YA KITABU unayozungumzia ndio uchawi wenyewe,uchawi sio lazima kutumia tunguli na kaniki,nyie ndo mnapotosha watu wanaenda kwa hao wanaojiita 'mashehe' wanaandikiwa makombe na zafarani,kupewa mipete wakidhani ni halali mwisho wake uislamu unapakwa matope.Narudia tena yale aliyokuwa anafanya marehemu shehe yahya and the likes ni uchawi/ushirikina.Hayo mavitabu ni manuals tu.na kwa vile mengi wanayoyatumia yanalugha ya kiarabu ndo kabisaa watu wanaingia mkenge.
Ahsante umemalizaa...kwanza zile lugha si za kiarabu za kijini!!!yaani alikua mshirikina kama wengine!
 
Nami nitoe mtazamo wangu kuhusu Likud na AbuFizzer

Kwanza niseme tu Mimi ni mzaliwa wa Gungu(kigoma), japokuwa umri wangu ni late 20s kuna mambo machache nayafahamu kuhusu Juma Njemba.

Mvutano kati ya Likud na Abufizzer ni wa kutaka kuonesha kuwa nani anamfahamu Zaidi Juma Njemba. Likudi ameelezea dark side ya mzee huyu maarufu wa kimanyema ambapo katika Maelezo yake, kuna ukweli mwingi na mengine ni chumvi. Mfano, hilo la kuoa wake 200 Nina shaka nalo,

Abufizzer anaonekana kuwa ndugu wa karibu wa Njemba au moja ya wana familia wa ndani. Anachofanya kutetea kuwa mzee Njemba hakuwa anaogopeka kwa mambo hayo ni kutaka kutunza siri ya familia tu. Mara nyingi watu wanaofanya shughuli hizi za kichawi na kishirikina huwa wanajificha kwenye dini ya kiislamu na kujifanya wasomaji wa kitabu cha quraan. Ila kiukweli, wanaua, wanatibu, wanafanya kila aina ya mandava ya darkside.

Mengi aliyosema LIKUD ni kweli, na anayosema Abufizzer ni "story counterbalance" tu.

Njemba aliogopeka, achana na yule jamaa
Ahsanteee
 
Shetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot him
Kaka mbona unarudiarudia kujinasibu kuwa una nondo nyingi kuhusu huyu Mzee??zitoe basi ila tunakusihi uzitoe nondo za ukweli sio uongo?Karibu
 
Namba 5. Huyo sio mwanafamilia ni tapeli na laghai..Kwanza wanafamilia na ukoo they even feel ashamed to be associated with him.
Huyo ni mjinga mjinga mmoja tu anataka uspuni ili akate goto
Yaani kwa lugha unayotumia, wewe unaamini katika uchawi na ushirikina kupita inavyoweza kudhaniwa
 
kuna watu eti wanabisha humu"" huyo juma njemba alikuwapo kweli " wazazi wangu waliwahi nihadithia habari zake " aiseee alikuwa nimtu hatari mnooo", though ninarafiki yangu aliwahi kumuoa mjukuu wake but now wameshatalikiana " na " huyo rafiki yangu anaishi UAE kwa sasa
Kumbe we wakigomaa!!!
 
Nami nitoe mtazamo wangu kuhusu Likud na AbuFizzer

Kwanza niseme tu Mimi ni mzaliwa wa Gungu(kigoma), japokuwa umri wangu ni late 20s kuna mambo machache nayafahamu kuhusu Juma Njemba.

Mvutano kati ya Likud na Abufizzer ni wa kutaka kuonesha kuwa nani anamfahamu Zaidi Juma Njemba. Likudi ameelezea dark side ya mzee huyu maarufu wa kimanyema ambapo katika Maelezo yake, kuna ukweli mwingi na mengine ni chumvi. Mfano, hilo la kuoa wake 200 Nina shaka nalo,

Abufizzer anaonekana kuwa ndugu wa karibu wa Njemba au moja ya wana familia wa ndani. Anachofanya kutetea kuwa mzee Njemba hakuwa anaogopeka kwa mambo hayo ni kutaka kutunza siri ya familia tu. Mara nyingi watu wanaofanya shughuli hizi za kichawi na kishirikina huwa wanajificha kwenye dini ya kiislamu na kujifanya wasomaji wa kitabu cha quraan. Ila kiukweli, wanaua, wanatibu, wanafanya kila aina ya mandava ya darkside.

Mengi aliyosema LIKUD ni kweli, na anayosema Abufizzer ni "story counterbalance" tu.

Njemba aliogopeka, achana na yule jamaa
Nyote mlihadithiwa lakini hamkumuona, hamkuzungumza nae, hamkumuhoji, yaani nyie ni "third hand information" na bado mnaushawishi umma uwaelewe kuwa mlichoambiwa ni kweli.

Nacheka[emoji6][emoji847][emoji6]
Watembeleeni wachamungu mpate kuondolewa nira mashingoni mwenu.
 
Huyu tumemuumbua na kijihistor chake cha kuhadithiwa wakat kina sisi tumeishi mitaa yenyewe na tunamjua mzee juma kuliko yeye
Tens tumemuumbua vibaya!!
Katika dunia ya Leo kuleta story za "Zombi mla watu" ni mtihani sana. Haijalishi muislam au mkristo ukiwa mtanzania ukaamini kuwa kuna mtu alikuwa na power ya uzushi ya kubuniwa na kupachikwa , jikague hutoshi ama kuna upungufu wa afya ya makuzi, au kuna ujazo wa elimu hewa.

Iwe mzee huyo alikuwa ndugu yangu, iwe alikuwa jirani yangu, iwe vyovyote bado hakuwa na matendo aliyonasibishwa mayo katika uzi huu, hakuwa mchawi wala hakudhulumu maisha ya watu
 
Nyote mlihadithiwa lakini hamkumuona, hamkuzungumza nae, hamkumuhoji, yaani nyie ni "third hand information" na bado mnaushawishi umma uwaelewe kuwa mlichoambiwa ni kweli.

Nacheka[emoji6][emoji847][emoji6]
Watembeleeni wachamungu mpate kuondolewa nira mashingoni mwenu.
Hakuna sehemu nimesema nilimuona wala kumfahamu
 
Tens tumemuumbua vibaya!!
Katika dunia ya Leo kuleta story za "Zombi mla watu" ni mtihani sana. Haijalishi muislam au mkristo ukiwa mtanzania ukaamini kuwa kuna mtu alikuwa na power ya uzushi ya kubuniwa na kupachikwa , jikague hutoshi ama kuna upungufu wa afya ya makuzi, au kuna ujazo wa elimu hewa.

Iwe mzee huyo alikuwa ndugu yangu, iwe alikuwa jirani yangu, iwe vyovyote bado hakuwa na matendo aliyonasibishwa mayo katika uzi huu, hakuwa mchawi wala hakudhulumu maisha ya watu
Nadhani kuna kitu unachanganya, mbona story ya kutundika koti ukutani bila hanger ofisini kwa RPC umekubali?? Hii inaweza Fanya na mtu wa kawaida? Asiekuwa na minguvu ya sirini?? Let close this,
 
Kwenye issue ya koti ofisini kuna alilosema la kweli na lipo hakusema kweli nenda kasome komenti yangu vema.

Kweli ni kukamatwa kwa mwanae kwa kutuhumiwa kuzurura

Isiyo kweli ni kutundikwa kwa koti
Zaidi issue hiyo ya koti Ujiji ni maarufu sana kwa wazee Zaidi ya mmoja kiasi watu walishaamini kuwa hizo ni ngano zinazohusishwa na watu Fulani kuwakuza au kuwapa utajo kuwa ni wenye nguvu za miujiza.
 
Nadhani kuna kitu unachanganya, mbona story ya kutundika koti ukutani bila hanger ofisini kwa RPC umekubali?? Hii inaweza Fanya na mtu wa kawaida? Asiekuwa na minguvu ya sirini?? Let close this,
Binafsi hii story yakutundika koti hewani niliwahi kuisikia but muhusika alikuwa anaitwa juma mtale sio juma njemba.
 
Back
Top Bottom