hili hata mimi nakuunga mkono, nasikia vijana wa kichaga wa miaka hii wanabidii sana ya kutafuta uchawi ili wawe matajiri.Wachagga kila siku nawaona huku Ludewa wanafuata uganga...Wachagaa sasa hivi ndio wanaongoza kutoa kafara ndugu zao ili wapate mali
Mkuu hiyo "the rest is history" hebu fafanua huo mkasa tupeane hii history aisee!!!Namjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.
Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
Ah ah ah ah ah bandiko lako limenifanya nisijue cha kuandika[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] maisha hayana rivasi
Ebu weka nyama yenye minofu nofu katika bandiko lakoNamjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.
Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
Acha uongo, taja hilo jina la mtumishi,....Manabii wa uongo nyieNamjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.
Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
[emoji1]ata mm alishawai kuniuwa jaman, juma njemba mtu mbaya Sana..
lkn mtu wa kigoma akisoma IQ yake ni kubwa kuliko nyie mnaotoka mikoa ya wasomiElimu ni muhimu sana hawa wangesoma wasingekuwa hivi cha ajabu wenyeji wa mkoa huo wanajisifia sana uchawi ukiishi nao, ukifanya nao kazi ni taabu.
Kweli kila mtu na ombi lake, mm ningemuomba amuondoe mbowe kwenye nafasi ya uenyekitiJuma angekuwepo ningeenda kumuomba kuhusu Jiwe kiukweli nimemchoka
Sio muhimu kujua jina, ila kama we ni mtu wake wa karibu lazima unaelewa kuwa alikufa kwa PIGO, pigo kuu zaidi ya uchawi, hakuna mchawi ambaye angeweza kumgusa, hapo ndipo alipotokea Mungu aliyempiga mapigo kumi ya Kimisri ghafra, Mungu wa Israel, ni baada ya Mtumishi kupunga mikono juu...Acha uongo, taja hilo jina la mtumishi,....Manabii wa uongo nyie
Kumbe Kigoma kulikuwa na Mama mganga pia?[emoji33][emoji33]Kwan kati ya juma njemba Na bint Rukungu nani alikua mchawi mkubwa kumshinda mwenzie? Hizi story ulisimuliwa na wewe umekuja kusimulia Kweli huyo mtu alikuepo huko ujiji lakin umeongeza chumvi nyingi
Ili upate buku 7 yako lazima umtaje mbowe.Kweli kila mtu na ombi lake, mm ningemuomba amuondoe mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti
Du Mkuu huo ukoo wa Mwilima ni mkubwa sana na huyo Abubakari alikua na watoto wengiHuyu Mwilima ndo aliyekufa miaka ya karibuni amabye mwanae alikuwa wizara ya fedha?
Haaahaaa! Kuna mtu humu ana wishes kama zako!Juma angekuwepo ningeenda kumuomba kuhusu Jiwe kiukweli nimemchoka
Hakika hatujui mwisho wake kama alitubu au lah ni kama ya kina yahya hussein na jina la usheikh alijitangulizia, lakini aliendesha maisha yake kwa shirk. Shirk ndogo ndogo na kubwa humuondolea mja sifa ya kuwa muislamAlikuwa mshirikina mkuu japo umetaja mazuri yake
Hahahahaha porojo nyingine hiziNamjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.
Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...