Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Baada ya Likud kuanzisha uzi huuu kwa ajili ya kutapeli watu kaingia mitini


Baada ya wanaomfahamu Juma Njemba kutusimbulia historia yake
 
Sijaelewa
Au hukutaka tuelewe?
 
Write your reply...@laki si Pesa

kwahiyo hadi Leo uchumi wa Kilimanjaro unavyokua ni wakoloni?
ukiwa na akili kubwa maendeleo yatakuja tu ndio mAana uchagani inaendelea kumeremeta,tukiwakAribisha wakoloni ili watuletee maendeleo nyie mliowakataa mlipAta faida gani? mtaendelea kubaki maskini
hongra wazee wa kichaga kuasisi maendeleo ndio maana hadi Leo Kilimanjaro ni kitovu cha uchumi,ELIMU na maendeleo
 
Kaa na waridi unukie uwaridi,kaa na mwenye Pesa upate akili ya Pesa.
 
Hakika hatujui mwisho wake kama alitubu au lah ni kama ya kina yahya hussein na jina la usheikh alijitangulizia, lakini aliendesha maisha yake kwa shirk. Shirk ndogo ndogo na kubwa humuondolea mja sifa ya kuwa muislam
shirki inayomuondolea mtu sifa ya kuwa muislam ni ipi!?..naomba aya tafadhali
 
Naskia eti Ali naali aliwahi kushusha mikono ya ile picha kwenye chupa ya konyagi!
 
Hilo zindiko ni hatari sana linahitaji ujasiri wa hali ya juu..Alikuwaga pia na zindiko la kumzika MTU kaburini, MTU kupikwa kwenye pipa pamoja na Yale ya " kusafiri" kwenda kuzimu kama lile lililo muua Joseph Kabasele
Du ndo maana wanigeria wanaonekana wachawi kwa kutoa siri kwenye movie zao..
 
Hiƴo kawaida kama ƙenya kuna mtu anakula viwemɓe anatafuna kama ɓig g ..anashushia na kandoro ndo menu yake! Fresh yan
 
Unaeza kuta unaishi kwa shemeji alaf unajivunia eti wachaga wana maendeleo wakati wewe unatunza bustani ya shemeji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…