luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
sisi huwa tunafundshwa kujitegemea huwa hatutegemei kulishwa ka nyie wacheza baikokoUnaeza kuta unaishi kwa shemeji alaf unajivunia eti wachaga wana maendeleo wakati wewe unatunza bustani ya shemeji yako
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] don I'm telling u ukweli mtupu!mi sizini dhambiii[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Naona unajirahisishia eeh...
Anaebudu mbuyu hana tofauti na anayempiga ramli au kwa sababu unakipa kiumbe uwezi wa Mungu wa kukuambia yaliyo sirini!mi nimeomba aya,nachojua ukiabudu mbuyu au kingine ndo unakua sio muislam tena..sasa nataka kujua hapa inakuaje ukiloga unakua sio muislam na ni shirki kivipi
Bila kumsahau Mzee Kitenge Babu yale na Maulid Kitenge,alikuwa ni shida.juma njemba? hahahahahhaa alikuwa na balaa si kitoto, wanao bisha waendelee kubisha, yupo mtalaamu mwingine anatokea mwakizega alikuwa ana balaa si masikhara, yupo binti rukungu. wapo weeengi. kuna mzee mmoja nmesahau jina lake yeye alikuwa akikunyooshea kidole basi nenda kaandike urithi kabisa, alikuwa anakunja vidole vya mikono yake yote, akivinyoosha vyoote ujue watu watano wameondoka, kula yake ilikuwa ndani tu baada ya kujizindua. wapo wale wazee wa mwamgongo na mwambao wa ziwa walikuwa na hatari si kitoto....
si vyema kuyazungumzia haya coz hayajengi
mi nataka mtu akipiga ramli sio muislam..naomba aya ya hvo..kupiga ramli hakufanani na kuabudu mbuyu..kwenye quraan washirikina wanaotajwa sio waislam wanaopiga ramli bali wanaoabudu miungu mbali na nwenyezi munguAnaebudu mbuyu hana tofauti na anayempiga ramli au kwa sababu unakipa kiumbe uwezi wa Mungu wa kukuambia yaliyo sirini!
Aya nnazo zipo nyingi tu!zinazoongelesha shirk ni dhambi
Inawezekana pia wanasaidiwa na masangoma maana ndio staili ya maisha yao.lkn mtu wa kigoma akisoma IQ yake ni kubwa kuliko nyie mnaotoka mikoa ya wasomi
Hahaha, Sangoma na IQ?Inawezekana pia wanasaidiwa na masangoma maana ndio staili ya maisha yao.
Dunia hii ina mambo ya ajabu nilipanga nyumba kwenye nyumba ya mama mshirikina balaa binti yake wa darasa la sita ilikuwa mwaka juzi kabla ya mitihani lazima ampeleke kwa mganga. Ukiona watu hawaendelei usifikiri ni utani kuna wanaowaza ushirikina kwenye kila jambo.Hahaha, Sangoma na IQ?
Hapo umeenda tofauti na nilichouliza.Dunia hii ina mambo ya ajabu nilipanga nyumba kwenye nyumba ya mama mshirikina balaa binti yake wa darasa la sita ilikuwa mwaka juzi kabla ya mitihani lazima ampeleke kwa mganga. Ukiona watu hawaendelei usifikiri ni utani kuna wanaowaza ushirikina kwenye kila jambo.
IQ hailetwi na dawa....ni kujituma na kuwa ni watu wa reasoningInawezekana pia wanasaidiwa na masangoma maana ndio staili ya maisha yao.
Du uko std 2? mtu atampeka mtoto kwa mganga kwa ajili afaulu mitihani kama haamini uchawi unaweza kumuongezea IQ?.Hapo umeenda tofauti na nilichouliza.
Swali langu ni je, Sangoma anaweza kukuongezea IQ?
Du uko std 2? mtu atampeka mtoto kwa mganga kwa ajili afaulu mitihani kama haamini uchawi unaweza kumuongezea IQ?.
IQ hailetwi na dawa....ni kujituma na kuwa ni watu wa reasoning
Huu uzi, bifu jingine limeanza nyuzi za kichawi simooooo. endeleeni.Na wewe kwa akili zako timamu unaamini kwamba mganga anaweza kuongeza IQ ya mtu?
Siwazungumzii wanaoenda huko, nazungungumzia wewe unaamini kwamba mganga anaweza kukuongezea IQ?
Bifu liko wapi mama? Umeulizwa swali rahisi tu, unaamini sangoma anaweza kukuongezea IQ?Huu uzi, bifu jingine limeanza nyuzi za kichawi simooooo. endeleeni.