Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Kuhusu kutokuwepo kwa imani za kichawi sio kweli[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]. Mi mke wangu ni wa huko so hunidanganyi, labda utakuwa umetembea kajieneo kadogo. Uchawi upo sana ila si kama maeneo mengine. Pengine wewe unatafsiri uchawi na kuwanga usiku. Uchawi ni mpana sana na ukitaka kujua uchawi wa wamachame ukoje basi gusa maslahi yao ndio utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi huwa nadharau sana jitu linalosifia kwao ndani ya nchi moja nyakati hizi. Unaweza kukuta liko Dar llinafanyia shughuli na kwa kiasi kikubwa linaishi huko lakini kutwa kucha linasifia Kilimanjaro. Hizo nyakati zilishapita za kusifia kwenu maana tumeshachanganyikana sana. Sehemu unakofanya maisha na kuishi zaidi ndiko kwenu. Sehemu yeyote ndani ya Tz ni kwenu na ndio maana siku hizi watu wakifa wanazikwa popote badala ya kusafirishwa walikotokea. Suala la sehemu nyingine kuwa duni lilipaswa likuumize badala ya kudharau maana ni nyumbani kwa watz wenzio.
Endelea kujisifia ujinga tu kuwa Kilimanjaro imeendelea.
Kwanza kujiita Makiadi inaonyesha hujitambui asilani.
Kwani wewe mwanawe au mkewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa imepenyaa,mnaacha kuendeleza kwenu mnatupigia kelele kwani Kilimanjaro si imeendeleA coz watu wake wanapenda kwao nyie mnawanga mchana kutwa mtaendelea lini? pole
 
kwahiyo ni uchawi gani
peleka ushamba wako biharamulo
 
Dawa imepenyaa,mnaacha kuendeleza kwenu mnatupigia kelele kwani Kilimanjaro si imeendeleA coz watu wake wanapenda kwao nyie mnawanga mchana kutwa mtaendelea lini? pole
Hilo neno "imepenya" huwa linatumiwa na watoto wa kike tu. So sitaki kuendelea kujibizana na mtoto wa kike maana nawaheshimu sana kina mama.
Ila hakuna sehemu nimesema natokea huko ulikosema. Mi kwetu Tarime. Laiti Nyerere angekuwa mbinafsi kama wachaga Mara ingekuwa mfano wa kuzungumziwa. Aidha kumbuka msingi wa maendeleo ya Klimanjaro uliwekwa na wakoloni na sio wachaga. Wachaga walikuja kupaendeleza tu so acha kujisia kitu ambacho hamkukianzisha nyinyi. Ukitaka kujua wakoloni ndio waliijenga Kilimanjaro angalia maeneo ambayo hawakuyapendelea mfano Kahe and the like,kwanini ni pa hovyo?kwani si kwa wa wachaga?
Pia hiyo Kilimanjaro unayousema imeendelea inahusisha Mwanga na Same pia, nako vp?mmepaendeleza?
Ngoja niishie hapa maana itakuwa "porcis prodere margaritas"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo ni uchawi gani
peleka ushamba wako biharamulo
Mshamba ni wewe unayejiita jina la mwanaume mwenzio bila aibu. Wapi nimesema kwetu Biharamulo?
Unajisifia Kilimanjaro imeendelea utadhani umetembea Tz nzima. Kuna maeneo yapo vizuri sana ila huwezi kusikia wakijisifu. Yapo maeneo ya hovyo sana Moshi kama Kiboriloni, Pasua na kwingineko ambapo kuna umasikini sana kwa walio wengi. Endelea kusifia tu wakati ukute huko uliko unaishi kwenye nyumba ya kupanga iliyojengwa na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ur comment is so much in touch with ur feminine side..Yani haina tofauti na meseji za wale michepuko wanao ombaga watumiwe na hela ya kutokea..umemtumia laki tatu halafu anakutumia text " baby mbona hujatuma na hela ya kutolea?".
kwa hiyo kaka na wewe una mchepuko?
 
kwa mujibi wa takwimu,Kilimanjaro ni mkoa wa pili tz kuwa na maishA bora na makaz bora
Kilimanjaro iliendele tangu zamani elimu na biashar ndio msingi mku kwetu
njoo nikupe kaz ya kulinda get I langu usidhan watu wote wana akili za kimaski. ka ww
 
kwanini wakoloni walitujengea Kilimanjaro n sii kwenu tarime?
Kilimanjaro watu wamepiga kitabu tangu enz ndio maana nyerere Alitu respect
mangi Mkuu wA wachag alipat degree mwAka 1940 uingerezA imagine huyo ni mtawal wa jadi alikua msomi hivyo ndio maana hakuna sekta yoyote utamkosa mchaga
 
kwanini wakoloni walitujengea Kilimanjaro n sii kwenu tarime?
Kilimanjaro watu wamepiga kitabu tangu enz ndio maana nyerere Alitu respect
mangi Mkuu wA wachag alipat degree mwAka 1940 uingerezA imagine huyo ni mtawal wa jadi alikua msomi hivyo ndio maana hakuna sekta yoyote utamkosa mchaga
 
"Unaposimuliwa jambo fanya utafiti wa kutosha kabla haujawasimulia watu wengine jambo hilo, sawa mjukuu wangu?"
Alisikika Mzee Busara akimwambia mjukuu wake Maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…