Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,321
Wakuu nani alishasikia story ya ng'wanamalundi ? huyo juma njemba ni cha mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mi dogo mkuu au sio ?Acha za vijiweni dogo. Mjadala tushaufunga. Someni yaliyo muhimu na sio stori zisizo na tija.
Kuhusu kutokuwepo kwa imani za kichawi sio kweli[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]. Mi mke wangu ni wa huko so hunidanganyi, labda utakuwa umetembea kajieneo kadogo. Uchawi upo sana ila si kama maeneo mengine. Pengine wewe unatafsiri uchawi na kuwanga usiku. Uchawi ni mpana sana na ukitaka kujua uchawi wa wamachame ukoje basi gusa maslahi yao ndio utaelewamimi ni mtu wa mikoa nyanda za juu kusini, shughuli zangu ni za kusafiri hapa na pale.
kuna wakati nilibahatika kwenda machame,nilichokiona huko kuhusu maendeleo ya mtu mmoja mmoja kilinifanya niwe nawa admire sana watu wa mkoa wa kilimanjaro na bidii yao ya kutafuta pesa
mwenyeji wangu alinitembeza ili nijionee majumba ya kifahari ya wamachame yaliyojificha kwenye vichaka vya migomba ya ndizi na kunitajia majina ya watu wa koo maarufu za machame zinazomiliki majumba hayo.
kwa siku nilizokaa machame sikusikia kabisa kuhusu hekaya za uchawi,ushirikina au mtu kalogwa.
Mi huwa nadharau sana jitu linalosifia kwao ndani ya nchi moja nyakati hizi. Unaweza kukuta liko Dar llinafanyia shughuli na kwa kiasi kikubwa linaishi huko lakini kutwa kucha linasifia Kilimanjaro. Hizo nyakati zilishapita za kusifia kwenu maana tumeshachanganyikana sana. Sehemu unakofanya maisha na kuishi zaidi ndiko kwenu. Sehemu yeyote ndani ya Tz ni kwenu na ndio maana siku hizi watu wakifa wanazikwa popote badala ya kusafirishwa walikotokea. Suala la sehemu nyingine kuwa duni lilipaswa likuumize badala ya kudharau maana ni nyumbani kwa watz wenzio.walikuuwa wewe?
peleka hekaya zako huko kwenu bisheke
na bado utatokwa povu vibaya Kilimanjaro ndio role modal ya maendeleo tz
ninyi mpo maskini kwasababu mnapigana mAjungu na kuoneana wivu wa kipuuz kwa hali hiyo ni sahihi KBS kagera kuwa ya tatu kwa umaskini
ishozi ni pa kAwaida
wewe ushafika marangu,himo,mwika,sanya,machame,bomangombe?
Dawa imepenyaa,mnaacha kuendeleza kwenu mnatupigia kelele kwani Kilimanjaro si imeendeleA coz watu wake wanapenda kwao nyie mnawanga mchana kutwa mtaendelea lini? poleMi huwa nadharau sana jitu linalosifia kwao ndani ya nchi moja nyakati hizi. Unaweza kukuta liko Dar llinafanyia shughuli na kwa kiasi kikubwa linaishi huko lakini kutwa kucha linasifia Kilimanjaro. Hizo nyakati zilishapita za kusifia kwenu maana tumeshachanganyikana sana. Sehemu unakofanya maisha na kuishi zaidi ndiko kwenu. Sehemu yeyote ndani ya Tz ni kwenu na ndio maana siku hizi watu wakifa wanazikwa popote badala ya kusafirishwa walikotokea. Suala la sehemu nyingine kuwa duni lilipaswa likuumize badala ya kudharau maana ni nyumbani kwa watz wenzio.
Endelea kujisifia ujinga tu kuwa Kilimanjaro imeendelea.
Kwanza kujiita Makiadi inaonyesha hujitambui asilani.
Kwani wewe mwanawe au mkewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo ni uchawi ganiKuhusu kutokuwepo kwa imani za kichawi sio kweli[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]. Mi mke wangu ni wa huko so hunidanganyi, labda utakuwa umetembea kajieneo kadogo. Uchawi upo sana ila si kama maeneo mengine. Pengine wewe unatafsiri uchawi na kuwanga usiku. Uchawi ni mpana sana na ukitaka kujua uchawi wa wamachame ukoje basi gusa maslahi yao ndio utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno "imepenya" huwa linatumiwa na watoto wa kike tu. So sitaki kuendelea kujibizana na mtoto wa kike maana nawaheshimu sana kina mama.Dawa imepenyaa,mnaacha kuendeleza kwenu mnatupigia kelele kwani Kilimanjaro si imeendeleA coz watu wake wanapenda kwao nyie mnawanga mchana kutwa mtaendelea lini? pole
Mshamba ni wewe unayejiita jina la mwanaume mwenzio bila aibu. Wapi nimesema kwetu Biharamulo?kwahiyo ni uchawi gani
peleka ushamba wako biharamulo
Haaaahahaaaaaa!!!!!!🙂🙂🙂🙂
kwa hiyo kaka na wewe una mchepuko?Ur comment is so much in touch with ur feminine side..Yani haina tofauti na meseji za wale michepuko wanao ombaga watumiwe na hela ya kutokea..umemtumia laki tatu halafu anakutumia text " baby mbona hujatuma na hela ya kutolea?".
kwa mujibi wa takwimu,Kilimanjaro ni mkoa wa pili tz kuwa na maishA bora na makaz boraMshamba ni wewe unayejiita jina la mwanaume mwenzio bila aibu. Wapi nimesema kwetu Biharamulo?
Unajisifia Kilimanjaro imeendelea utadhani umetembea Tz nzima. Kuna maeneo yapo vizuri sana ila huwezi kusikia wakijisifu. Yapo maeneo ya hovyo sana Moshi kama Kiboriloni, Pasua na kwingineko ambapo kuna umasikini sana kwa walio wengi. Endelea kusifia tu wakati ukute huko uliko unaishi kwenye nyumba ya kupanga iliyojengwa na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini wakoloni walitujengea Kilimanjaro n sii kwenu tarime?Hilo neno "imepenya" huwa linatumiwa na watoto wa kike tu. So sitaki kuendelea kujibizana na mtoto wa kike maana nawaheshimu sana kina mama.
Ila hakuna sehemu nimesema natokea huko ulikosema. Mi kwetu Tarime. Laiti Nyerere angekuwa mbinafsi kama wachaga Mara ingekuwa mfano wa kuzungumziwa. Aidha kumbuka msingi wa maendeleo ya Klimanjaro uliwekwa na wakoloni na sio wachaga. Wachaga walikuja kupaendeleza tu so acha kujisia kitu ambacho hamkukianzisha nyinyi. Ukitaka kujua wakoloni ndio waliijenga Kilimanjaro angalia maeneo ambayo hawakuyapendelea mfano Kahe and the like,kwanini ni pa hovyo?kwani si kwa wa wachaga?
Pia hiyo Kilimanjaro unayousema imeendelea inahusisha Mwanga na Same pia, nako vp?mmepaendeleza?
Ngoja niishie hapa maana itakuwa "porcis prodere margaritas"
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini wakoloni walitujengea Kilimanjaro n sii kwenu tarime?Hilo neno "imepenya" huwa linatumiwa na watoto wa kike tu. So sitaki kuendelea kujibizana na mtoto wa kike maana nawaheshimu sana kina mama.
Ila hakuna sehemu nimesema natokea huko ulikosema. Mi kwetu Tarime. Laiti Nyerere angekuwa mbinafsi kama wachaga Mara ingekuwa mfano wa kuzungumziwa. Aidha kumbuka msingi wa maendeleo ya Klimanjaro uliwekwa na wakoloni na sio wachaga. Wachaga walikuja kupaendeleza tu so acha kujisia kitu ambacho hamkukianzisha nyinyi. Ukitaka kujua wakoloni ndio waliijenga Kilimanjaro angalia maeneo ambayo hawakuyapendelea mfano Kahe and the like,kwanini ni pa hovyo?kwani si kwa wa wachaga?
Pia hiyo Kilimanjaro unayousema imeendelea inahusisha Mwanga na Same pia, nako vp?mmepaendeleza?
Ngoja niishie hapa maana itakuwa "porcis prodere margaritas"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe wanategemea uchswi huoHivi wakati huo kigoma hawakuwepo watumishi wa Mungu ili kukemea na kusambalatisha hizo nguvu za Giza za huyo Juma njemba