Usimhusishe Nkamia na watu wa Kondoa. Nimehusika na watu wa Kondoa nyakati fulani enzi hizo. IQ yao ni ya juu na sidhani wanaweza kushabikia mada za mtindo huu zinazoletwa na huyo Nkamia.Aibu ht kusema! Mbunge wa chemba wilayani kondoa mkoani Dodoma!
Wakuu JF,
Mi nionavyo kuna Mbunge anaitwa Nkamia na mwingine ambaye sijui ana cheo gani, anaitwa Musiba, wachukuliwe hatua mara moja. Rais Magufuli alitoa rai kuhusu jambo la kuongezewa muda wa kuongoza likome Mara Moja.
Lakini viongozi hao wamekosa utii juu ya kauli zao, Wako kinyume na kiongozi mkubwa wa nchi.
Magufuri anazo akili nyingi na mjanja sana kuliko wanachama wote wa ccm anategwa na mtego ameshaujuwa .na pia anawajua kwamba ccm ni wanafki unakumbuka wale walio sema tunaimani na lowassa sasa ndio hawa akina nkamia usifikirie kwamba baadhi ya wanaccm wanamkubali magufuri
Mkuu, its a Natinal Tragedy kuwa na watu wasio na upeo, elimu ndogo, halafu yuko katika chombo cha kutunga sheria, Bunge!Ni aibu kua na wabunge jamii ya Nkamia..soo stupid..narrow minded creature..
Nkamia na Musiba wanachochea uvunjifu wa Katiba.Nini kifanyike?
Mkuu wanachochea uvunjifu ama wanachochea mabadiliko ya katiba? Hayo ni mabadiliko ya katiba lkn yenye mrengo wa udikteta.Nkamia na Musiba wanachochea uvunjifu wa Katiba.Nini kifanyike?
Wakamatwe kwa kosa gani? Wao wanataka muhula uwe miaka 7, raisi amesema hataki,lakini hakuna aliyevunja sheria hata kama mmoja anasema yeye na wananchi. Kati ya mawazo yao na kutendeka kwa hicho kitu kuna kutengeneza muswada, kuna maamuzi ya bunge na kama mawazo yao yatakubalika bungeni kuna raisi (akubali au akatae) na katiba ibadilishwe. Hivyo acheni lijadiliwe na watu wawe na uhuru wao kikatiba kuunga mkono au kukataa (pamoja na maandamano ikibidi). Chama chao kinaweza pia kuchukua hatua za kichama kikiona inafaa. Lakini kikatiba kuwa na mawazo tofauti na raisi si kosa.
Mkuu kwa upande wangu alinichefua mnoo, hajielewiNilicheka sana kila alivyokuwa akiongea. Bora angekaa kimya.
Wewe ambaye CCM basi iwasilishe.. Akili yako finyu ndio sababu hata mantiki ya hii post haujaielewa.. Kuwa CCM sio sifa ya kujigamba nayo. Ideology ya Chama ndio inanifanya nibaki mwana CCM ila sio hizi takataka zingine zinazoibuliwa na wachumia tumbo kama weweWe sio CCM ndio maana umeshindwa kuwasilisha hoja.
Aiseeee hahahaaaa weee ndio pohambaMawazo mazuri sana umetoa Mkuu!
Wanajiita wanapigania demokrasi Halafu hawataki Juma Nkamia kutumia Demokrasia hiyo kuwaza na kutoa Mawazo yake kwa kadri apendavyo bila ya kuvunja katiba
Na mm kuna wakati nahic hivoRais mwenyewe sitaki nataka.