Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Nkamia katumwa sio yeye
 
Pamoja na Rais Magufulii kuwatangazia Watz kupitia K/Mwenezi Bw. Polepole kuwa JPM hafurahishwi na mjadala huo wa kutaka aongezewe muda!!!!

Naamini Mzalendo ni shabiki wa moja ya timu kongwe za kabumbu hapa nchini kama si "Msimba" wazi basi ni "Yangu one" ukiona mcheza wa moja ya hizo timu akikokota mpira kuelekea golini kwake utaamini kuwa anakwenda kujifunga!?
 
Nkamia ametoa maoni yake.
Mh Magufuli ameshatoa msimamo wake kuwa hapendelei mjadala huo ni vema tukaheshimu msimamo wa kiongozi wetu.
Hata hivyo najua watanzania wengi wangependa atawale muda mrefu zaidi ili adumishe yale mazuri anayoyafanya.
Maendeleo uletwa na dira na mikakati endelevu ya kitaifa,sio suala la mda gani kiongozi akae,anaweza akakaa hata zaidi ya hapo na kusiwe na maendeleo km kukaa ni maendeleo nchi nyingi za kidikteta za kiafrica wangekuwa mbali sana
 
Nkamia bhana.
Kujipendekeza kote huko una tafuta nini kwa magufuli?
Mwenyewe ameshasema hataki na hafurahiii hilo jambo wewe unalazimisha hili iweje?
 

Juma Nkamia ni mchochezi anatakiwa kukamatwa
 
Huyu Ngamia nadhani ana ukichaa fulani.
 

inaionekana wewe huwa ni mwoga hata ukiona mende au mjusi!!

Huyo Nkamia mpaka akupandishe hizo hasira ni nani? ukipata mahasira kama hayo inakusaidia nini? ungempotezea ..INGEPENDEZA

mkuu wa nchi na chama anasema maada ife, wewe unauliza nyuma ya Nkamia yuko nani? nani sasa kumzidi rais wa nchi na wenyeiti wa chama chao??

hasira mpaka unaandika vituko tupu
 
Mkiwa na viongozi wa aina ya Nkamia apa Africa ni bora mkatawaliwa tena na wazungu!
 

Katika Siasa hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya. Mungu atupe uzima tutaona mwisho wake ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…