Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

aisee ila waliohojiwa wamejua kutusemea watanzania...dah

sasa wangehojiwa na STAR TV, ITV au CHANNEL 10 ungesikia filimbi zao
 
Aseme yeye ndio anataka aongezewe muda wa ubunge kwa kisingizio cha kuongeza muda wa urais
Kweli huyu jamaa baada ya kujuwa wananchi wake hawamtaki anatafuta namna ya kubaki bungeni.
 
Kifupi nchi inakoelekea sio pazuri. Huu mzaha ni jambo la hatari. Huyo slim sio mtu wa kuwa naye karibu. Something is not right somewhere. It’s only a matter of time.
 
Hivi kule kwa Paul Kagame ilikuaje mpaka ikawa kama sasa??/
Rais wa marekani alikuwa na maaana kuwa mwafrica ukimpa silaha anamuua mwenzake na ukimpa hela za kusaidia wenzake anafanya zake sasa ndy drama imeanza na kujitoa hapa ni sisi wananchi na siyo hawa wabunge wetu na rais Trump hakuwatukana viongozi bali sisi wananchi kwa nini tukubali pasipo kubaliana?? Kama kiongozi hafai ni kumwondoa kwa njia yeyote ile
 
Ka
Unaweza kukuta hata Mh Rais kukataa ni mbinu ili isije kuonekana yeye ndiye ali initiate akaonekana ame breach Constitution kwa hiyo kihherere nkhamia anatumwa kwakuwa Spika Ndugai siwakukataa yule ni mashine ya kupitisha mambo!
Kama Nkamia hajatumwa wamkemee basi hadharani akina UVCCM, UWT, TAPA, Ndugai, serikali, n.k
 
Kagame nae alianza na hizi ''sitaki nataka'' na mwisho wa siku akadai ati wananchi na wazee ndani ya chama ''walimbembelza'' akubali kuruhusu referendum. Nkamia hana ubavu wa kupingana na Pogba. Kuna namna hapa na wanawapumbaza tu
Hata Museven alianza kwa kukana mawazo ya kuondoa umri kikomo kwenye Katiba.
 

MBona hakamatwi kwa kupingana na Rais kuhusu jambo hilo?
 
Ka
Kama Nkamia hajatumwa wamkemee basi hadharani akina UVCCM, UWT, TAPA, Ndugai, serikali, n.k
Kavulata, wamkemee kwa kosa gani wakati yuko ndani ya sheria ni kama kipa anayedaka na kulala na mpira kidogo
 
aisee ila waliohojiwa wamejua kutusemea watanzania...dah

sasa wangehojiwa na STAR TV, ITV au CHANNEL 10 ungesikia filimbi zao
huu ni mjadala US wanataka rais akae kwa kipindi cha miaka 6 na aende zake
And anyway, six uninterrupted years as presidentwould be nearly the equivalent of two four-year terms—a reelection campaign invariably consumes two yearsof the president's valuable time and distracts the nation.Dec 5, 2013
 
nkhamia anatumwa kwakuwa Spika Ndugai siwakukataa yule ni mashine ya kupitisha mambo!
Mkamia anahudhi tena sana. Anatukera wengi hata shabiki wa Magufuli.

Lakini hapo kwa kumlaumu spika sio sahihi, spika ndio anapiga kura?
Je kisheria spika asipopenda yeye binafsi mswada fulani basi anaweza tu kuukataa usijadiliwe?
Au ukijadiliwa ukapitishwa kwa kura za wabunge wengi yeye anaweza kuukataa kwa sheria ipi?

Hapo ni kupaza sauti kumkemea Nkamia asipeleke hiyo kitu bungeni, au kuwashawishi wabunge hasa walio wengi wa CCM wasikubali kufanya jambo baya kama hili.

Litakuwa kosa kubwa sana ambalo tunaweza kulaumiwa na vizazi vijavyo.
 
Huwezi kuwa rafiki wa kweli wa Paul Kagame na usitamani au kufikiria kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Hii ni agenda ambayo ipo kwenye corridor za ccm na vichwani mwa vigogo kama Nwinyi, makamu wa rais zanzibar na miongoni mwa wabunge wa CCM.
 
As long as yuko ccm hawezi kuwa mchochezi. Kosa angekuwa mvaa magwanda kabla wino haujakauka angeiona defender au Nissan patrol nyeupe inakuja nyuma yake
 
As long as yuko ccm hawezi kuwa mchochezi. Kosa angekuwa mvaa magwanda kabla wino haujakauka angeiona defender au Nissan patrol nyeupe inakuja nyuma yake
Hata Nyerere hakujua kuwa iko siku Tanzania itakuja kumpata Rais ambaye ataliua Azimio lake la Arusha, atauza mashirika yote, viwanda vyote na nyumba zote za umma. Hakujua kwamba Tanzania itakujakumpata Rais ambaye atauza tembo wote, faru wote, twiga wote, tanzanite zote, dhahabu zote kwa bei cheee kabisa. Huyu Nkamia ni hatari kabisa, hajui kuwa iko siku Tanzania inaweza kumpata Rais ambae anaweza kuiuza au kuigawa Kigoma kwenda Burundi, Ngara kwenda Rwanda, Mtwara kwenda Msumbiji, Ruvuma kwenda....Kagera kwenda.... ili apate pesa za kustarehe na famila yake? Tusibadilishe katiba kwa kumuangalia Rais Magufuli tu bali tuangalie wale ambao hawapo sasa lakini watakuja. Kama Nyerere angejua ile katiba asingeiacha kama vile alivyoiacha.
 
KAVULATA- Naona prejudice kwenye maoni yako
 
Ikumbukwe watu walizusha kuwa JK hataki kuachia mwisho wa siku alijiondokea zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…