Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

Ulitaka sasa Ummy apewe tuzo?
 
Simba wa yuda alijua kutisha watu aisee
 
Ameanika ujinga wake hadharani
 
Ummy ni mkweli, Mungu akusimamie na hata kesho simamia unachoami na ukweli Mungu atakulinda
 
Tehee tehee teee, lijiwe lilikuwa jinga kweli kweli, yaani baada tuu ya kupigia kinanda cha miaka 7 kesi ya kuupinga mswaada wa kikandamizi ikaisha
 
Nafurahi kuona na kusikia aina ya viongozi tulio nao hapa Tanzania, mwisho wa siku bado adui yetu anaetuzonga sana wakati huu ni ccm na unafiki.
 
Jiwe alikuwa Katiri sana !
Mi naona alikuwa na huruma Sana,Kama Kuna mtu alimdhuru yeye ndiye aliyemchokoza,wewe fikiria mtu anafoji cheti anakuwa mhasibu wa tasisi ya serikali aliyesomea nafasi hiyo yupo nyumbani hana kazi,halafu akinyofolewa anakuja kupiga kelele hapa eti JPM alikuwa katili,hamna alikuwa mtu mwema aliyependa haki kwa Mimi baada ya hapo wangeshitakiwa kwa kuiibia serikali
 
Nimemsoma huyu jamaa nikajiuliza hivi watu wa namna hii akili huwa wanapeleka wapi? Huu upuuzi anaongea tena kwa kujidhalilisha unamjenga vipi?

Ni bora angenyamaza kuliko kudhihirisha upumbavu wake. Kuna watu walipingana naye wakiwa hai.hao ndiyo walikuwa wanaume hasa. Siyo hii mibwege inakuja kujikosha kwa upumbavu iliyofanya.

Huo muswada Juma Nkamia aliupinga chumbani kwake? Nkamia alikuja na hoja ya kipumbavu ambayo hata Magufuli aliona Nkamia ni Mpuuzi akampiga chini kwenye uchaguzi 2020. Huwezi kuwa na akili timamu ukalazimisha Rais aongezewe muda kinyume na Katiba halafu leo uje kujikosha.

 
Kabisa, hatari Sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…