Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Ulitaka sasa Ummy apewe tuzo?Si unaona saa hizi anatafuta nafasi ya kufikiliwa 2025. Maana saa hizi ukitaka upewe nafasi huko we mponde Magu.
Hivi karibuni ummy mwalimu alitrend sana lakini alipomsifia mwendazake kupitia msd walivyoisimamia kwa sheria inayotumika sasa na ikafanya vizuri amepotezwa kabisa.
Mama kaona huyu kumbe sio mwenzetu. Sie tunapambana kuzima moto wa Magu ye anachochea kuni.