Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

Status
Not open for further replies.
Tabia Za Kihuni Kama Hizi Hatuzitaki Katika Michezo.Tff Itoe Adhabu Kali Sana Ya Kumfungia Kucheza Mpira Maisha.Aende Akaendeleze Huo Uhuni Wake Huko Mchangani.Kuvuta Mibange Icwe Sababu Ya Kuendekeza Tabia Za Kishenzi Na Kihuni.Pumbavu Sana Huyu Mtoto!

Azam FC wameiachia TFF ichukue hatua stahiki hata hivyo wame-propose adhabu kali itolewe. Historia inaonesha hilo ni tukio la 3 kwa Nyosso kufanya hivyo; mara ya kwanza alifanya hivyo kwa Joseph Kaniki wa Simba yeye Nyosso akiwa Ashanti United, mara ya pili alimfanyia hivyo Elias Maguli wa Simba na yeye Nyosso akiwa Mbeya City na mara ya mwisho kamfanyia John Bocco wa Azam FC na yeye Nyosso akiwa Mbeya City.
 
TFF kupitia kwa Jamal kasema hatua zitachukuliwa haraka kwa hilo punga.

Kamati Ya Nidhamu Ya Tff Ikutane Kwa Dharura Na Itoe Adhabu Kali Sana Kwa Huyu Mshenzi Wa Tabia.Afungiwe Maisha Kujihusisha Na Maswala Ya Soka.Washenzi Kama Nyosa Hatuwahitaji Katika Jamii Ya Wanamichezo.Arudi Kijiweni Akafanye Kazi Ya Upusha Naona Ndo Itakayomfaa Na Atakutana Na Wahuni Wenzie Uko.Wanamichezo Ni Jamii Ya Watu Waliostaharabika
 
Azam FC wameiachia TFF ichukue hatua stahiki hata hivyo wame-propose adhabu kali itolewe. Historia inaonesha hilo ni tukio la 3 kwa Nyosso kufanya hivyo; mara ya kwanza alifanya hivyo kwa Joseph Kaniki wa Simba yeye Nyosso akiwa Ashanti United, mara ya pili alimfanyia hivyo Elias Maguli wa Simba na yeye Nyosso akiwa Mbeya City na mara ya mwisho kamfanyia John Bocco wa Azam FC na yeye Nyosso akiwa Mbeya City.

Nyoso Hajaanza Hizi Tabia Za Kishenzi Leo.Hata Juma Amir "Maftah" Amedai Ameshawai Kumpiga Kichwa Nyoso Kwsbb Ya Tbia Kama Hizi Za Kihuni.Tunaiomba Tff Itoe Adhabu Kali Ili Iwe Fundisho Kwa Wahuni Wengine Wenye Tabia Kama Za Nyoso.Tff Soka Sio Kichaka Cha Wahuni Kwahiyo Fungia Maisha Huyu Mbwa!
 
JUMA NYOSO hii tabia yake mbona mbovu .. Uyu beki wa mbeya city Ana tabia ya kupiga Madole wachezaje wenzake ...TFF MPENI AZABU ANAYO STAILI
 
Wakuu, mimi nilishangaa nilipomwona kwenye orodha ya usajili wa mbeya city
Yule ni wa kuchezea manzese fc tu.
 
Sio mara ya kwanza wala ya pili pia alishawah kumfanyia amr maftah zaman
 
Mwenye tabia yake haachi.
icon8.png
icon8.png
icon8.png
icon8.png
icon8.png
icon8.png
icon8.png
icon8.png
icon8.png
 
HAHAHAA NYOSO MZEE WA KUPIMA oil... huyu jamaa atakuwa na tatzo ktk ubongo bila shaka psychologically ameathirika na anal sex.. inaonesha kwamba ni mlawiti wa kiwango cha juu.! achunguzwe...
 
Juma Nyosso kaharibika sana, sio yule wa Simba! Tatizo kaenda mji wa Mbeya wenye wahuni wengi na wakazi wake wengi hawajitambui. Tatizo ni Mbeya! Imebidi abadilike kutokana na mazingira.

ACHA usengerema wewe mbeya inahusika vip na ujinga wa nyoso! umenipa hasira kinyama zaid ya hasira ya nyoso..una generalise mkoa mzma kwa ujinga wa nyoso..! umenikera kinyama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom