Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ndo uache kuwa kama bendera. Huoni huyo shabiki kavaa jezi nyekundu tena ya simbaMkuu rudia kusoma. Aliyepigwa ni shabiki wa kagera suger na siyo shabiki wa simba. Acha kukurupuka
Haha kweli mkuu watu ni wagonjwaNgumi moja mtu chali ? Maisha haya sasa hivi ni kukaa mbali na watu wachokozi unaweza ukapata murder case bure
Kupiga mshabiki inawezekana ila hiyo picha ya pili mbona kama haioani na tukio.Mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyosso ashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kutuhumiwa kumpiga Shabiki mmoja uwanjani mpaka kupoteza fahamu.![]()
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara VPL kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba Sports Club.
Kuna utata kidogo. Ila wasema shabiki aliingia uwanjani punde tu mpira kwisha.Kupiga mshabiki inawezekana ila hiyo picha ya pili mbona kama haioani na tukio.
Mpira umekwisha hawa watu hapo chini mbona wamekaa kama vile mechi inaendelea nilidhani ningaliwaona wakiwa wimawima kwenye harakati za kuondoka uwanjani!!
Usisome "heading" tu bali soma habari yoteMashabiki wa simba ni mambumbumbu ..
Hongera nyosso umemkosa Bocco umempata shabiki wa simba ,nilitaka kushangaa nyosso awaache simba salama?