Juma Nyosso amekamatwa na Polisi baada ya kumpiga shabiki hadi kuzimia

Leo naomba tujadili kuhusu mtu kupigwa ngumi moja nakuzimia...hivi kweli ngumi moja inaweza kumfanya mtu apoteze fahamu....au ni uwezo wa nguvu aliojaliwa Juma Nyoso....kutoka kwa Mungu.

Maana yule shabiki aliyepingwa ngumi na Juma Nyoso ...alipigwa ngumi moja tuu..ya mashavu.

Yaani Mimi bado nalifikilia ili swala sipati majibu..
Au shabiki alikuwa ajala ana njaa au alikuwa mgonjwa ...na je? kama alikuwa mgonjwa alipata wapi ujasir wakujibizana na Juma Nyoso.

Aisee watanzania tunabid tujitahd kuwa tunakura chakura chakutosha angalau milo minne kwa siku ..ili kujiweka fitness ...pia nakufanya mazoezi.

Leo ntamuagiza ndg yangu aliyeko huko Bukoba aende hospital ya rufaa (Government) ili amdadisi huyo shabiki aliyelazwa kwa kupigwa Ngumi moja na Nyoso kama alikuwa mgonjwa au lishe au ndo ivyo tu basi alikutana na ngumi ya zege.

Kiukweli naomba Juma Nyosso akitoka police leo aende apatiwe huduma ya kisaikolojia....kwa wataalamu ...Maana ile ngumi yake ya zege imetuogopesha sisi mashabiki.
Kuna vitu vingi vinavyosababisha mtu azimie ikiwemo msituko
 
Huyu si ndiye aliyemuingizia mwenzake kidole cha makalio?
 
we huoni watu wakiwa wanakutafutia redcard uwanjani ukimgusa tu kidogo anavyo jitupa?

lakini pia kuna vitu ktk mwili wa mwanadamu vinaitwa pressure point hapo ukiguswa na ngumi kama sio kupoteza maisha papohapo unaweza kuzimia kwahiyo inategemea ilipigwa ktk sehem gan ya mwili
 
Ndio maana nasemaga kilasiku, soka la Bongo litabaki kuwa LA bongo tu daima...hata tushiriki mashindano ya kimataifa Mara ngapi, bado hatuwezi kubadili mfumo wa soka letu...vitu kama hivi vinatokea kwa wenzetu huko ulaya na kwingineko na hali kadhalika tunaona jinsi gani wachezaji wanaweza kudhibiti hicia zao kulingana na mfumo wa kisoka waliokulia....lakini huku kwetu kama umekulia tandale baci hata upelekwe kucheza ulaya..bado utaishi maisha ya kitandale tu...solution sheria hucika ifuate mkondo wake bila ya kumuangalia mtu usoni
 
Huyu si mchezaji mpira...maana Kila siku ni yeye tuu..huu mpira wa kizaman sana
 
Huyu Nyosso kwanza si mchezaji mzuri, huyu dogo anastahili akamatwe na kufunga zaidi ya miaka 20 jela ili ajifunze adabu.
 
c40fdba4bbe7271fba0954866f2d8962.jpg

Shoka moja mbuyu chini
Jela hata ukiwa kama UNDERTAKER, Hata Askari kimbaumbau kama A.T Anakuswaga kama ng'ombe
 
Mashabiki wa Simba acheni ushabiki wa kishamba, Nyoso hapendagi ujinga, huyu ndugu yenu kavuna alichopanda.
8078aa2494b02b87f51891d8621ac962.jpg
04b1843933ab21e6526437211de10de0.jpg
2f281203cb4e0af65a842eba4ea62fba.jpg
 
Ila washabiki wanaboa, inasemekana huyo shabiki ni wa Simba na alienda akampulizia vuvuzela Nyosso tena usoni, ebu imajini mmefungwa alafu jamaa anakuja kukupigia makelele usoni na vuvuzela.
Hata kama angepigwa dole Nyoso alitakiwa kuwa na nidhamu,haya sasa anaenda kufungiwa
 
Asubirie rungu la TFF ,tunataka nidhamu kwa wachezaji
 
Leo naomba tujadili kuhusu mtu kupigwa ngumi moja nakuzimia...hivi kweli ngumi moja inaweza kumfanya mtu apoteze fahamu....au ni uwezo wa nguvu aliojaliwa Juma Nyoso....kutoka kwa Mungu.

Maana yule shabiki aliyepingwa ngumi na Juma Nyoso ...alipigwa ngumi moja tuu..ya mashavu.

Yaani Mimi bado nalifikilia ili swala sipati majibu..
Au shabiki alikuwa ajala ana njaa au alikuwa mgonjwa ...na je? kama alikuwa mgonjwa alipata wapi ujasir wakujibizana na Juma Nyoso.

Aisee watanzania tunabid tujitahd kuwa tunakura chakura chakutosha angalau milo minne kwa siku ..ili kujiweka fitness ...pia nakufanya mazoezi.

Leo ntamuagiza ndg yangu aliyeko huko Bukoba aende hospital ya rufaa (Government) ili amdadisi huyo shabiki aliyelazwa kwa kupigwa Ngumi moja na Nyoso kama alikuwa mgonjwa au lishe au ndo ivyo tu basi alikutana na ngumi ya zege.

Kiukweli naomba Juma Nyosso akitoka police leo aende apatiwe huduma ya kisaikolojia....kwa wataalamu ...Maana ile ngumi yake ya zege imetuogopesha sisi mashabiki.
unaharisha au!!?..mbona rararaa bila mpango
 
Nyoso kweli kakosea ila kidhat kabisa, binafsi yangu hata mimi kipindi naudananda waduwanzi waduwanzi kama kama hawa nilikuwa siwacheleweshi nawatwanga ndonga tu..

Aliyecheza mpira anajua maumivu ya kufungwa mtu unafungwa mazoezini ila unakaribia kupasuka itakuwa huyu wa uwanjani game ambayo imekamiwa..

Simuungi mkono nyoso, ila nyoso nae binadamu, mshabiki yule ilikuwaje atoke huko alikotoka kumfata nyoso na kumpulizia vuvuzela, lawama kwake,
pili lawama kwa askari vip lile vuvuzel lingekuwa kisu je, nyoso angedhurika sijui kama tungekuwa tunaongea haya, kilichomponza nyoso ni mfululizo wa matukio yake huko nyuma laiti angefanya kaseja au mtu mwingine mwenye rekodi nzur huko nyuma isingekuwa ngumu kwake kiasi hiki kama kwke nyoso.

Uwanja ule nimeona unafensi kubwa tu, mipira iliyokuwa inapigwa na kutoka nje ilikuwa inaishia katika fensi, kuingia uwanjan kuna vigeti, fensi imetenganisha uwanja n mashabiki kama viwanja kadhaa vya ujerumani, sasa shabiki kilimuwasha nini kumfata nyoso uwanjani, usikute ana stress ya kupoteza game, labda na hela waliahidiwa na vyuma vilivyokaza kaishapangia na bajeti
 
Heheheh nyoso noma sana. Hivi sasa yuko wapi jamaa huyu?
 
Back
Top Bottom