kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
Wakuu baada ya Juma NYOSO, mshambuliaji wa Kagera Sugar kupigwa ban ya miaka miwili kwa kosa la kumtindua John bocco dole la kati[emoji108] leo tena almanusra amtoe meno shabiki
Nini ushauri kwa huyu bwana
Au kwa mamwela waliomkamata????
Nini ushauri kwa huyu bwana
Au kwa mamwela waliomkamata????